Family pictures of Big Brother Africa Revolution couple, Kevin Chuwang Pam...
Family pictures of Big Brother Africa Revolution couple, Kevin Chuwang Pam and Elizabeth Gupta.
View ArticleSEMINA YA KAMATA FURSA TWENDZETU KWA VIJANA YAFANYIKA LEO MKOANI DODOMA.
Msanii mahiri wa Kughani Mashairi kwa mtindo wa kisasa kabisa,Mrisho mpoto akizungumza mbele ya sehemu ya wakazi wa Mkoa wa Dodoma na vitongoji vyake waliojitokeza mapema leo asubuhi kwenye semina ya...
View ArticleMSHINDI WA NYUMBA YA PILI AIRTEL YATOSHA APOKEA CHETI CHA USHINDI RASMI LEO
Mshindi wa nyumba ya pili ya Airtel Yatosha yenye thamani ya shilingi milioni 65/- amekabidhiwa cheti cha ushindi leo ikiwa ni uthibitisho maalum mbele ya wanahabari ambapo ni muda mfupi baada ya...
View ArticleNEW SONG- MZUNGU KICHAA ~ TWENDE KAZI
Sikiliza wimbo mpya wa Mzungu Kichaa unaojulikana kama Twende kazi kutoka kwenye album iliyompa mafanikio sana ijulikanayo kama tupo pamoja. Wimbo wa Twende kazi unapeleka ujumbe kwa vijana kujua...
View ArticlePADRE AMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR.
Padre Ancelmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar amemwagiwa tindikali katika mgahawa wa Sun Shine uliopo Mlandege, na watu wasiojulikana. Unaambiwa ili ni tukio la tano sasa...
View ArticleCHEKI MAMBO YA SERENGETI FIESTA 2013 NDANI YA UWANJA WA JAMUHURI DODOMA
Mmoja wa wasanii wanaokuja kwa kasi kwenye anga ya muziki wa Bongofleva a.k.a hip hop,Stamina akiwaimbisha wakazi wa Dodoma na vitongoji vyake waliojitokeza kwa wingi usiku huu ndani ya uwanja wa...
View ArticleRais wa Zanzibar Dakt. Shein Amtembelea Padri Aliyemwagiwa Tindikali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Padri Joseph Monesmo Magamba, wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, alipofika katika Hospitali ya...
View ArticleCheki Maandalizi Kili Music Tour 2013 Viwanja vya Leaders Club
Jukwaa litakalotumika katika Kilimanjaro Music Tour 2013 katika viwanja vya Leaders Club. Timu ya Amsha Amsha inayozunguka mtaani kwa ajili ya kuhamasisha mashabiki kujitokeza uwanjani DJ Mafuvu wa...
View ArticleCHEKI KILI MUSIC TOUR ILIVYOFUNIKA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA...
Lady Jaydee na Mr Blue wakiimba "Wangu" katika Tamasha la Kili Music Tour lililofanyika Usiku wa Kuamkia leo Katika Viwanja Vya Leaders. Si mwingine ni Roma Mkatoliki akiendeleza makamuzi katika Kili...
View ArticleHIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SERENGETI FIESTA 2013 NDANI YA UWANJA WA JAMHURI...
Mmoja wa Wasanii mahiri ambaye anafanya vyema kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013,Rachael kutoka THT akionesha umahiri wake wa kuimba na kukata mauno jukwaani,huku shangwe zikiwa zimetawala kila...
View ArticleSEVERINA LWINGA ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA PERSONALITY 2013
Mrembo Severina Lwinga juzi alifanikiwa kuwa mrembo wa tano kuingia nusu fainali ya shindano la Redd's Miss Tanzania 2013 baada ya kutwaa taji la Miss Personality 2013. Mshindi wa taji hilo...
View ArticleHAFSA KAZINJA KUURUDIA WIMBO WA GURUMO
Kutoka kushoto ni Mwanamuziki wa zamani wa miduara Omari Mkali , Hafsa Kazinja ( katikati) na Abdul Salvador. IKIWA ni siku nne tu tangu gwiji wa muziki wa dansi ambaye kwa sasa anaimba nyimbo za...
View ArticleTFDA NA MPANGO WA MAFUNZO NA UFUATILIAJI KWA WAZALISHAJI WADOGO WA BIDHAA ZA...
Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Bi. Gaudensia Simwanza (kushoto) akieleza kwa waandishi wa Habari kuhusu mpango wa mafunzo na Ufuatiliaji kwa wazalishaji wadogo wa bidhaa za Chakula...
View ArticleSERIKALI KUIMARISHA UDHIBITI WA MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE NCHINI
Mratibu wa Taifa wa Mpango wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele toka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Upendo Mwingira KUSHOTO akiwaonesha waandishi wa habari Dawa za Kingatiba za Magonjwa...
View ArticleWajumbe wa kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara watembelea Kiwanda cha TBL...
Wajumbe wa Mamati maalumu Bunge ya Viwanda na Biashara wakitembelea Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL) Iyunga Jijini Mbeya hivi karibuni. Wajumbe wa Mamati maalumu Bunge ya Viwanda na Biashara...
View ArticleTimu ya Copa Coca-Cola yarejea nchini baada kushiriki michuano ya kimataifa...
Timu ya Copa Coca-Cola iliyoshiriki katika michuano ya kimataifa ya Copa Coca-Cola nchini Afrika Kusini wiki iliyopita ikiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es...
View ArticleLOWASSA ASIMIKWA KUWA CHIFU WA UNYENYEMBE MKOANI TABORA
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa akivishwa vazi maalum la Kichifu pamoja na kukabidhiwa mkuki na Chifu Mkuu wa Kabila la Unyenyembe, Chifu Msagata Fundikira ikiwa ni...
View ArticleElizabeth Michael “Lulu” na Vicent Kigosi “Ray” wateuliwa kuwa mabalozi wa...
Elizabeth Michael “Lulu” na Vicent Kigosi “Ray” wamechaguliwa kuwa mabalozi wa Dar Filamu Festival 2013/2014 ambayo inatarajiwa kufanyika September 24 hadi 26 kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama. Lulu...
View Article