![]()
Padre Ancelmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar amemwagiwa tindikali katika mgahawa wa Sun Shine uliopo Mlandege, na watu wasiojulikana. Unaambiwa ili ni tukio la tano sasa kumwagiwa tindikali watu Zanzibar, je nini kifanyike kutokomeza hali hii?