Mavuno makubwa ya Zabibu shambani kwa Mh. Pinda Dodoma leo
Watu wakivuna Zabibu kwenye Shamba la Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda lililopo Zuzu mjini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Bibi Silvana Nhungwe akivuna Zabibu katika shamba la...
View ArticleMwandishi wa The Citizen ajeruhiwa kwa Mapanga mkoani Singida
Mwandishi wa habari wa gazeti la The Citizen na mwananchi mkoani Singida, Awila Silla amenusurika kuuawa na mtu anadhaniwa kuwa Jambazi baada ya kukatwa katwa kichwani na kusababisha kuzirai. Tukio...
View ArticleDiamond Platinumz aingia mkataba na Vodacom Tanzania
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa offer ya miito ya simu jijini Dar es Salaam. Kupitio ofa...
View ArticleWAREMBO REDD’S MISS TANZNIA 2013 WALIPOTEMBELEA MARIA STOP KANDA YA KASKAZINI
Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Maria Stop ya jijini Arusha wakisalimiana na warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea Makao Makuu ya Kanda ya Kaskazini mjini Arusha...
View ArticleDIAMOND AJIBU TUHUMA ZA KUMPA MIMBA MWANAFUNZI NA KUIBA NYIMBO ZA WATU,...
Hatimaye Diamond Platnumz leo amejibu tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabali ikiwemo ile ya Dayna Nyange kudai kuwa alitumia beat ya wimbo wake kurekodi wimbo wake unaotamba sasa, Number 1 na pia kuhusu...
View ArticlePICHA MBALIMBALI ZA HARUSI YA MANASE BANJE
Manase Banje akimvisha pete ya harusi mkewe.Bwanaharusi na Bibiharusi wakiteta jambo. Hapa wakipongezwa na ndugu jamaa na marafiki.Picha ya pamoja wakiwa na Babaharusi na BibiharusiManase Banje akiwa...
View ArticleH Baba na Frola Mvungi wapata mtoto wa kike wampa jina la Tanzanite
Msanii H Baba na mkewe Frola Mvungi wamefanikiwa kumpata mtoto wa kike jana jioni majira ya saa 12:30 katika hospitali ya Maria Stope iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam. Kama unakumbuka hapo awali H...
View ArticleTamasha la kumuaga rasmi mwanamuziki mkongwe wa msondo ngoma muhidin maalim...
MWANAMUZIKI mkongwe aliyestaafu muziki akiwa na bendi ya Msondo Ngoma, Muhidini Maalim Gurumo, ameandaliwa shoo mbili za kumuaga, moja wapo ikipangwa kufanyika Oktoba 11, ikiwa ni VIP, katika Ukumbi wa...
View ArticleMama salma kikwete aongoza mapokezi ya mbio za mwenge wilayani Lindi
Kiongozi wa Mbio za Mwenge taifa Juma Ali Simai akimkabidhi Mwenge wa Uhuru mkimbiza mwenge namba moja katika manispaa ya Lindi Mke wa Rais ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) Mama...
View ArticleWAZIRI DK. EMMANUEL NCHIMBI AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA IDARA YA UHAMIAJI MAKAO...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na watumishi wa Idara ya Uhamiaji Makao Makuu pamoja na wawakilishi wa idara hiyo Mkoa wa Dar es Salaam (hawapo pichani) kuhusu...
View ArticleDownload GeezMabov ft FidoVato & SpacDawg - HipHop Misingi [Audio]
Track "Hiphop Misingi" toka kwa Dirty South Dawg aka GeezMabov akishirikiana na FidoVato toka Vatoloco The Red pamoja na SpacDawg toka Kid Can Kill, Ngoma imeundwa pande za Noizmekah Production...
View ArticleDownload DugizNyuki ft BouNako - Hustler Vs Gangsta [Audio]
Dugiz Nyuki akimshirikisha Bounako katika mkono " Hustler VS Gangsta" ilopikwa Chimbo Records Moshi pamoja na Noizmekah studios Arusha, pata kuusikiliza/Download HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na...
View Article