Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

NEW SONG- MZUNGU KICHAA ~ TWENDE KAZI

$
0
0
Sikiliza wimbo mpya wa Mzungu Kichaa unaojulikana kama Twende kazi kutoka kwenye album iliyompa mafanikio sana ijulikanayo kama tupo pamoja. Wimbo wa Twende kazi unapeleka ujumbe kwa vijana kujua kwamba maisha yao yako mikononi mwao na pia wapotezee wivu usiokuwa na maana.

Mzungu kichaa alishawahi kufanya kazi na Bongo Records C.E.O “P Funky” aka Majani. Kwa sasa mzungu kichaa ana label yake mwenyewe inayojulikana kama Caravan Records.

The songs nomination for a Danish Music Award shows that Tanzanian Bongo Flava has a wider appeal than ever before. Since the release of his debut album, Tuko Pamoja, Mzungu Kichaa has been actively touring in Denmark with his Tanzanian band, which explains how the artist landed this nomination.

Mzungu Kichaa has also toured Africa, with several concerts in Kenya, Uganda and Tanzania.
 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>