SHANGWE ZA SKYLIGHT BAND
Mary Lucos na Aneth Kushaba AK47 wakitoa burudani kwa mashabiki wao wa Skylight Band Juma lililopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Skylight Band imebarikiwa Kipaji kipya anajulikana...
View ArticleJaji Mkuu wa Tanzania afungua mafunzo ya Mahakimu wakazi Dar leo
Mh. Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania Mohamed Chande Othuman akiwaasa Hakimu Wakazi alipokuwa anafungua mafunzo ya mahakimu hao yaliyoandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora...
View ArticleVituo vya Mizani ya Barabarani Mkoani Iringa kuchunguzwa
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli. (Picha na Maktaba). Na.Mwandishi wetu Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Iringa...
View ArticleTUPIA MACHO KILICHOJILI KWENYE MASHINDANO YA MISS TALENT
Kuelekea mashindano ya Miss Tanzania ambayo yatafanyika Jumamosi hii tarehe 21/9 kwenye ukumbi wa Mlimani city,mrembo Prsica Clement toka kitongoji cha Sinza amefanikiwa kuwa mshindi wa miss talent....
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA UBALOZI WA HESHIMA SAN FRANCISCO
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi ofisi ya ubalozi wa heshima(Honorary Consulate) wa Tanzania jijini San Francisco nchini Marekani leo jioni.Kulia ni Balozi wa heshima wa...
View ArticlePinda akutana na Balozi wa China nchini na viongozi wa kampuni ya HUAWEI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza maelezo kuhusu picha ya watawala wa asili wa China kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huwawei Technologies nchini, Bw. Bruce Zhanga na Mkurugenzi Mkuu...
View ArticleCHUO KIKUU BAGAMOYO KUWANOA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Prof. Costa Mahalu akizungumza wakati wa uzinduzi wa kozi mpya ya kuwanoa watetezi wa haki za binadamu katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki inayojulikana...
View ArticleMKEMIA MKUU WA SERIKALI AOMBA KILA MKOA UTOE TAMKO LA KUPAMBANA NA MATUMIZI...
Mkemia Mkuu wa Serikali Profesa Samwel Manyere akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya zawadi ya kitini na CD vya somo la Kemia kwa wanafunzi wa shule za Sekondari Mkoani Rukwa katika...
View ArticleOMMY DIMPOZ NDANI YA WASHINGTON, DC, JUMAMOSI KAMA LOUNGE
OMMY DIMPOZ ALIPOWASILI WASHINGTON DC “OMMY DIMPOZ” AKIWA NA PROMOTER WAKE “DMK GLOBAL” DIMPOZ AKIPATA UKODAKI NA PROMOTER WAKE “MR DMK” PAMOJA NA AKINA DADA WALIOKUWEPO KUMPOKEA KATIKA UWANJA WA NDEGE...
View ArticleSIMBA YAVUNJA REKODI TAIFA, YAICHAPA MGAMBO 6-0
Shabiki wa Simba maarufu kama Bubu ambaye alihamia Yanga lakini jana alionekana akiwa katika jukwaa la Simba akiwa amevalia jezi za Simba KLABU ya Simba jana ilivuna ushindi mnene wa mabao baada ya...
View ArticleAISHA BUI AFUNGUKA JUU YA SHUTUMA ZA KUWA KAFUNGWA UKO BRAZIL
HUKU kukiwa na madai kuwa msanii wa filamu Bongo, Aisha Bui amekamatwa na kufungwa nchini Brazil kwa kunaswa na unga, mwanadada huyo ameibuka na kufafanua juu ya tuhuma hizo.Akizungumza na gazeti hili...
View ArticleOMMY DIMPOZ ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA VIZION OONE
Mkurugenzi wa vizion one Inc na Giant enginnering Ltd Bwana John Sitta ambae ni mdhamini wa mambo mbali mbali hapa mjini akiwa na Ommy dimpoz siku ya Jumatano Sept 18, 2013 ommy alipotembelea makao...
View ArticlePITA PITA YA OMMY DIMPOZ NA CAMERA YA SWAHILITV BLOG NDANI YA MITAA YA...
SWAHILITV BLOG WAKIFANYA PITAPITA NA DIMPOZ DC POZ KWA POZ KATIKA POZ DIMPOZ AKIANGALIA MAZINGIRA KABLA YA SHOW YA JUMAMOSI HII WASHINGTON DC. POZ KWA POZ.....KATIKA POZ PICHA NA SWAHILITV BLOG / MMK...
View ArticleMahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Morogoro imeamua kumnyima dhamana katibu wa...
Ulinzi Mkali ukiwa umeimarishwa Mahakamani jana wakati kesi hiyo ikiendelea. Sheikh Ponda akiwa Chini ya Ulinzi Mkali wakati akiingia Mahakamani kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya...
View ArticleSEMINA YA SIKU 2 ILIYOANDALIWA NA TCRA KWA AJILI YA BLOGGERS NA FORUMS...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa mtandao huu wa Sufianimafoto, Muhidin Sufiani, baada ya kumalizika kwa...
View ArticleSIKILIZA WIMBO MPYA WA SAM WA UKWELI FT RICH MAVOKO NA ZED ANTO ----...
Hawa watatu wote ni vocalist ambao ni rahisi kuwatambua na kuwakubali. Hapa, wakiwa ndani ya Burn Records kwa Producer Sheddy Clever ambaye anakuja juu kwa kasi ya aina yake katika soko la producers...
View ArticleDILLISH APEWA ZAWADI YA GARI NA MPENZI WAKE SIKU YA BIRTHDAY YAKE
MSHINDI wa shindano la BBA‘The Chase’2013,Dillish Monroe kutoka nchini Namibia amepewa zawadi ya gari na mpenzi wake Steven katika sherehe ya kuzaliwa kwake. Dillish alipost picha kupitia mtandao wa...
View ArticleTIC yajivunia Mafunzo kwa Wawekezaji Wazawa
Meneja Mawasiliano wa Kituo cha Uwekezaji Bi. Pendo Gondwe (kulia) akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mafuzo ya kitaalam waliyoyatoa kwa wajasiriamali 285 katika Mikoa ya Dar es...
View ArticleAGNESS MASOGANGE NA MELISA EDWARD WAPATA DHAMANA AFRIKA KUSINI.
Johannesburg. Watanzania Agness Masogange na Melisa Edward waliokamatwa kwa kutuhumiwa kubeba dawa za kulevya huko Afrika Kusini wameachiwa kwa dhamana. Mkuu wa Kitengo cha Dawa za Kulevya Afrika...
View Article