Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Elizabeth Michael “Lulu” na Vicent Kigosi “Ray” wateuliwa kuwa mabalozi wa Dar Filamu Festival 2013/2014

$
0
0


Elizabeth Michael “Lulu” na Vicent Kigosi “Ray” wamechaguliwa kuwa mabalozi wa Dar Filamu Festival 2013/2014 ambayo inatarajiwa kufanyika September 24 hadi 26 kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama. Lulu ametajwa kama official actress na Ray kama official actor/director wa DFF 2013.Waandaaji wa festival hii wamesema kwamba majukumu makubwa ya Ray na Lulu ni kushiriki kwenye kampeni za kuhamasisha filamu za kitanzania ziendelee kupendwa na kupewa thamani na kufanya soko la filamu Tanzania kuwa na thamani kubwa.
Tamasha la Dar Filamu Festival (DFF 2013) litafanyika katika viwanja vya Kijitonyama kuanzia tarehe 24 hadi 26 Septemba 2013, filamu za Kitanzania kama ufunguzi wa tamasha hilo zitaonyeshwa kwa kiingilio cha Bure kabisa kiingilio chako ni kufika katika viwanja vya Posta pale Kijitonyama na kushuhudia filamu kutoka kwa wakali wa filamu Bongo Movie.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>