![]() |
Manase Banje akimvisha pete ya harusi mkewe. |

![]() | |||||
Bwanaharusi na Bibiharusi wakiteta jambo. |
![]() |
Hapa wakipongezwa na ndugu jamaa na marafiki. |
![]() |
Picha ya pamoja wakiwa na Babaharusi na Bibiharusi |
![]() |
Manase Banje akiwa na furaha akimbeba mkewe. |
![]() |
Biharusi katika pozi. |
![]() |
Wazee na wadau wengine wakipata msosi. |
Mwinyi Blog inawatakia maisha mema ya ndoa na Mungu awaongoze katika kila jambo.