Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

WAREMBO REDD’S MISS TANZNIA 2013 WALIPOTEMBELEA MARIA STOP KANDA YA KASKAZINI

$
0
0



Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Maria Stop ya jijini Arusha wakisalimiana na warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea Makao Makuu ya Kanda ya Kaskazini mjini Arusha hivi karibuni na kupatiwa mafunzo juu ya uzazi wa mpango


Warembo wa Miss Tanzania wakifuatilia mafunzo juu ya uzazi wa mpango na wakati salama wa umri wa kuanza kupata mtoto.


Meneja wa Kanda ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa wa Maria Stop Tanzania, Dk Abraham Msaki akizungumza na warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013 na kuwapatia elimu ya uzazi wa mpango wakati warembo hao walepotembelea taasisi hiyo mjini Arusha hivi karibuni.

Mmoja wa washiriki Salsha Isdori akiuliza swali…

Picha ya pamoja kati ya warembo na wafanyakazi wa Maria Stop Kanda ya Kaskazini ilipigwa.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>