CHEKI JINSI OMMY DIMPOZ ALIVYOPOKELEWA KWA KISHINDO BURUNDI
WASHABIKI WALIFUNGA NJIA POLISI WALISHINDWA KUWAZUIA. OMMY DIMPOZ KUANZA TOUR YAKE MAREKANI MWEZI WA TISA TAREHE 21 WASHINGTON DC !!
View ArticlePICHA ZAIDI ZIKIONESHA JINSI SHEKH PONDA ALIVYOUMIZWA KWA RISASI
KATIBU WA JUMUIYA ZA KIISLAMU TANZANIA SHEKHE ISSA PONDA NI KWELI HAPO JANA ALIPIGWA RISASI NA KWASASA YUPO HOSPITALI YA RUFAA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI NA SI KWELI KAMA YUPO CHINI YA ULINZI WA...
View ArticleYanga kama Simba, Ngassa atupia moja wakiiua Sc Villa 4-1
Na Prince Akbar YANGA SC imetuma salamu Johannesrbug, Afrika Kusini ambako Azam FC wameweka kambi kujiandaa na msimu mpya- kufuatia ushindi wa mabao 5-1 leo katika mchezo wa kirafiki dhidi SC Villa ya...
View ArticleROBIN VAN PERSIE AIPA MAN U KOMBE LA NGAO YA HISANI KWA MABAO YAKE 2-0 DHIDI...
Robin van Persie (katikati) akiruka kupiga mpira wa kichwa na kufunga bao la mapemba katika dakika ya sita wakati wa mchezo wa Ngao ya Hisani kati yao na Wigan katika Uwanja wa Wembley. Wachezaji wa...
View ArticleNOMINATION DIARY- FEZA KESSY ATOLEWA KATIKA SHINDANO LA BIG BROTHER AFRICA
“I feel like it is over for me,” Fezaconfessed to Biggie during her Nomination Diary session this evening.When Big Brother asked her to clear up what she meant by this, she said: “I have lost hope but...
View ArticleTaswira za show ya mwanamuziki dkt jose Chameleone,alivyowakuna wakazi wa...
Pichani juu ni sehemu ya mamia ya mashabiki na wapenzi wa muziki wakifurahia nyimbo wakati wa tamasha la Valuvalu lililofanyika kwenye ufukwe wa Escape Complex jijini Dar es Salaam, Jumamosi. Tamasha...
View ArticleCHEKI JINSI EXTRA BONGO NA TOT WALIVYOTOA BURUDANI DAR LIVE EID PILI
Aziza Kimsi wa TOT Taarab akiimba. Wanamuziki wa TOT wakiimba. Kiongozi wa Extra Bongo, Ally Choki, akiimba wimbo wa Mtenda Akitendewa. Wanamuziki wa Extra Bongo wakiwa kazini. Ally Choki na mnenguaji...
View ArticleDADA DINACARES YALA CHAKULA CHA MCHANA NA WATOTO YATIMA AZULA BEACH KAWE.
Mratibu wa hafla hiyo,Dina Marios kutoka Dada Dina Cares (pichani Mbele),akiwa sambamba na baadhi ya Wadau waliojitokeza kuifanikisha hafla hiyo ya chakula cha mchana na watoto Yatima kutoka vituo...
View ArticleRAIS WA MALAWI BANDA AMWANGUKIA RAIS KIKWETE ... USHAHIDI HUU HAPA
Kumbe muoga eenh? Rais wa Malawi, Joyce Banda akipiga magoti kumwamkia Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, katika moja ya matukio yaliyowakutanisha marais hao. Katika miaka ya hivi karibuni Tanzania na...
View ArticleTAMKO LA UMOJA WA WANAZUONI WA KIISLAM TANZANIA KUHUSU TUKIO LA SHEIKH PONDA
TAMKO LA UMOJA WA WANAZUONI WA KIISLAMU TANZANIA KUHUSU TUKIO LA SHEIKH PONDASisi, Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania (Hay – atul Ulamaa), tumepokea kwa masikitiko makubwa habari za kushambuliwa...
View ArticleDANGURO LA UCHI LAFUMULIWA BUGURUNI DAR, GHARAMA YA CHUMBA NI 1200/=...
JUMBA linalodaiwa kutumika kuendesha shughuli za ukahaba limebainika kuwapo katika eneo la Buguruni, jijini Dar es Salaam.Uchunguzi uliofanywa na Tanzania Daima, umebaini kuwapo kwa jumba ambalo...
View ArticleMwana F.A na A.Y nao wasachiwa kupita kiasi kwenye airport ya huko South Africa
Msanii Madee alivyokuwa airport huko South Africa alipekuliwa sana kutokana na historia ya kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya kwenye viwanja vya ndege vya huko South Africa. Tukio hilo...
View ArticleHivi ndiyo Wema Sepetu alivyosherekea sikukuu ya Eid
Sikukuu kila mtu huwa anapenda kuisherekea kitofauti zaidi. Hivi ndivyo muigizaji Wema Sepetu aliamua kuisherekea kwa upande wake, alitumia muda wake wa sikukuu ya Eid kukaa pamoja na wazazi wake wote...
View ArticleRASHIDI MATUMLA MANENO OSWARD WAPAMBANA TENA KWA MARA YA NANE
Bondia Rashidi Matumla kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Maneno Osward wakati wa mpambano wao uliofanyika katika uwanja wa jamuhuri morogoro wakati wa sikukuu ya iddi pili mchezo huo...
View ArticleWALTER CHILAMBO AVUNJA UKIMYA BAADA YA NEY WA MITEGO KUMCHANA KWENYE WIMBO...
Walter Chilambo amevunja Ukimya Baada ya Kuchanwa na Ney Kuwa Ana Maisha Duni Licha Ya Kushinda Milioni 50 za EBSS Baada ya maneno na tuhuma nzito za Ney wa Mitego dhidi ya Mshindi wa Epiq Bongo Star...
View ArticleSHEKH KUNDECHA ATAKA KUUNDWA TUME KUPIGWA RISASI KWA SHEHE PONDA
Shehe Kundecha akizungumza na waumini wa Kiislamu katia msikiti wa Mtambani jana alasiri. Baadhi ya waumini wa Kiislamu wakimsikiliza.… wengine walikuwa juu ghorofani. Wakili wa Shehe Ponda, Juma...
View ArticleREDD'S MISS ILALA IS AROUND THE CORNER
Warembo wanaotarajia kushiriki Redd's Miss Ilala, wakiwa wamepozi wakati wa mazoezi kwenye Mgahawa wa Billicanas, Dar es Salaam, tayari kwa mashindano yatakayofanyika Ijumaa kwenye Ukumbi wa Golden...
View ArticleFLAVIANA MATATA AITOA KIMASOMASO TANZANIA, AFRIKA NA KIMATAIFA
Flaviana Matata Ashika nafasi ya juu Afrika na Kimataifa kwa kipatoNa Mwandishi Wetu NYOTA ya mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata amezidi kung’ara baada ya kuingia katika orodha ya...
View ArticleRAIS KIKWETE APOKEI HATI YA UTAMBULISHO YA BALOZI WA UHOLANZI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi Mteule wa Uholanzi hapa nchini Mhe Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar es salaam. (Picha na Ikulu) Rais Jakaya Kikwete...
View ArticleTamasha la Afrika lafana Marekani
Tanzania iliwakilishwa vyema kwenye tamasha hilo la kila mwaka liitwalo FestAfrica lililofanyika mwishoni mwa juma huko Silver Spring Md na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi. Fashion ya mavazi ya Afrika....
View Article