Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

PICHA ZAIDI ZIKIONESHA JINSI SHEKH PONDA ALIVYOUMIZWA KWA RISASI

$
0
0













KATIBU WA JUMUIYA ZA KIISLAMU TANZANIA SHEKHE ISSA PONDA NI KWELI HAPO JANA ALIPIGWA RISASI NA KWASASA YUPO HOSPITALI YA RUFAA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI NA SI KWELI KAMA YUPO CHINI YA ULINZI WA POLISI KAMA SMS MBALIMBALI KUPITIA SIMU ZA VIGANJANI ZINAVYOSAMBAZWA.


PIA JUMUIYA NA TAASISI YA KIISLAMU TANZANIA LEO BAADA YA SWALA YA ALSIRI KATIKA MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI WATATOA TAMKO KUHUSIANA NA TUKIO HILO.(picha na S Magambo)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>