Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Mwana F.A na A.Y nao wasachiwa kupita kiasi kwenye airport ya huko South Africa

$
0
0

Msanii Madee alivyokuwa airport huko South Africa alipekuliwa sana kutokana na historia ya kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya kwenye viwanja vya ndege vya huko South Africa. Tukio hilo limewatokea Mwana F.A akiwa na swahiba wake A.Y baada ya kufika bondeni kwa ajili ya show. Unaambiwa jamaa walipekuliwa kupita kiasi cha kawaida. Mwana F.A hali ilimshinda ikabidi aanze ku-share na marafiki zake kwenye twitter kuhusu mamboyaliyowakuta huko bondeni.
Hizi ni baadhi ya caption za Mwana F.A na watu wengine baada ya tukio hili kutoke.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>