KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAFANYA UZINDUZI WA MUONEKANO MPYA WA BIA YA KIBO.
Baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni ya Serengeti Breweries wakionesha muonekano mpya wa chupa ya Kibo Gold. Meneja Miradi endelevu na uwajibikaji lampuni ya bia ya Serengeti Nandi Mwiyombela (Katikati),...
View ArticleKINANA AKUTANA NA BALOZI WA CANADA LEO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Caanada hapa nchini, Alexandre Leveque, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 12, 2013. Balozi...
View ArticleVijana kutoka Ujerumani wafurahia ushirikiano wa Serikali ya Tanzania.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana, wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na vijana wanaojitolea kutoka Ujerumani ambao wapo nchini kufuatia...
View ArticleMKURUGENZI WA J-FILM 4 LIFE JENNIFER KYAKA (ODAMA) AFANYA MAHOJIANO NA TBC1...
Mkurugenzi wa J-Film 4 Life akisubiria kuingia katika chumba cha mahojiano na mtangazaji wa TBC 1 radio Jane John wa kipidi cha Asubuhi. Odama akielekea katika chumba cha mahojiano cha TBC 1 radio...
View ArticleMASTAA BONGO MVUTO WAO SIYO WA KUMULIKA NA TOCHI!
Je, mvuto, urembo na uzuri ni vitu gani? Ni kweli kwamba uzuri au urembo uko katika mboni ya jicho la mtazamaji au kwenye akili na macho ya binadamu? Ukweli ni kwamba kila mtu ana namna yake ya...
View ArticleCheki Jinsi Skylight Band na msanii mpya Beka walivyopagawisha mashabiki wake...
Aneth Kushaba AK 47 akiongoza kundi zima la Skylight Band kutoa burudani kwa mashabiki wake katika kusheherekea sikukuu ya Iddi El Fitri kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar....
View ArticleEXCLUSIVE:HII NDO LIST ITAKAYOPAFORM SERENGETI FIESTA 2013 KIGOMA JUMAMOSI...
WEUSINAY WA MITEGOSTAMINASHETTAHSHILOLEMADEE RECHO PETER MSECHUNEYLEE TID AY&FA CHEGE NA TEMBA BARNABA AMINI MWEUSI(JOHN MAKINI LINEX YOUNG KILLERWENGINE NI HAWA HAPA: Â GODZILLA Â Â BABA LEVO...
View ArticleROSE NDAUKA KUVAMIA BONGO FLAVA .
MSANII wa filamu nchini Rose Ndauka kwa mara ya kwanza amefanya shoo ya aina yake ya nyimbo ya bongo fleva aliyoshirikiswa na kundi la TNG, katika tamasha la sikukuu ya Iddi lililofanyika Dar Live...
View ArticleANGALIA PICHA ZA KILICHOJIRI KATIKA MAZISHI YA ERASTO MSUYA,BILIONEA...
Mchungaji Abeli Msuya na mkewe wakitoa sala mbele ya jeneza la marehemu. Familia ya marehemu katika ibada ya kumwaga marehemu Erasto Msuya iliyofanyika Jumatatu huko Sakina Arusha. Dada wa marehemu...
View ArticleWAREMBO WA REDD'S MISS ILALA KUWANIA TAJI LA MISS TALENT LEO
Na Mwandishi Wetu, Dar KATIKA Kuelekea Redds Miss Ilala Ijumaa, leo kutakuwa na shindano la kumtafuta mrembo mwenye kipaji (Talent) itakayofanyika katika mgahawa wa City Sports and Loungeu liopo...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA VIJANA WANAOJISHUGHULISHA NA UCHORAJI BAADA YA KUACHA...
Kijana Jimmy Changchuu alieachana na matumizi ya dawa za kulevya akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete picha aliyochora yeye na kijana mwenzake wakati vijana hao walimpomtembelea Rais Ikulu...
View ArticleTAMASHA LA VYOMBO VYA HABARI MKOA WA ARUSHA KUFANYIKA SEPTEMBA 8
Mwandishi Mwandamizi wa New habari 2066, Ltd, Mwani Nyangassa (wa pili kulia) akionyesha uwezo wake wa kusebeneka na baadhi ya wanahabari wakati wa Tamasha la Waandishi wa Habari lililofanyika kwenye...
View ArticleSHIRIKA LA UNESCO LAKUSUDIA KUVIJENGEA UWEZO VYOMBO VYA HABARI VYA JAMII...
Makao Makuu ya kituo cha habari na mawasiliano cha Redio ya jamii Sengerema Fm mkoani Mwanza kunakofanyika warsha ya wiki moja kwa redio za jamii nchini kwa ajili ya kuziandaa kuhubiri mijadala ya...
View ArticleCHEKI FOLENI YA KWENDA KUMUONA SHEKH PONDA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Waumini wakisubiri zamu yao kwenda kumjulia hali Sheikh Ponda hospital ya muhimbili.
View ArticleRAIS DKT. SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA MAHAKIMU NA MAJAJI WA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) ulioanza leo katika Hoteli ya...
View ArticleCHID BENZ ASIMULIA JINSI ALIVYOTHIRIWA NA BANGI NA MADAWA YA...
Rapper Chidi Benz leo kwa mdomo wake mwenyewe amekiri kuwa alikuwa akitumia madawa ya kulevya kwa miaka mingi. Chidi amefunguka leo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM. Alisema japo hakwenda Nairobi...
View ArticleMUNDE STAR SEARCH - TABORA 2013
NASSOR WAZAMBI - MRATIBU "MUNDE STAR SEARCH"MUNDE STAR SEARCHNi mashindano ya vipaji mbalimbali ambayo yamelenga kutaka kuwapata na kuibua vipaji mbalimbali vilivyosahaulika ili kuwakwamua vijana na...
View ArticleCHEKI BEHIND THE SCENE WAKAZI AKISHOOT VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA 'TOUCH'
Msanii huyu anafahamika kwa jina la wakazi chini ya MJ REcords amewezakufanya vitu vingi lakini hapa anaweza akatudhirishia kufanya kitu kizuri zaidikama chipukizi kwenye gemu ya muziki kutokana na...
View ArticleTIGO YATOA ZAWADI YA FLAT SCREEN SAMSUNG LCD KWA WATEJA WAKE WA FACEBOOK
Mwanafunzi wa chuo cha St. Joseph, Goodluck Msongore (23) akipokea zawadi ya Samsung LCD flat screen ya inchi 40 kutoka kwa Afisa Mtandao wa Kijamii wa Tigo Bi. Samira Bamaar katika hafla fupi...
View Article