SKYLIGHT BAND WAZIDI KUWAPA RAHA MASHABIKI WAO NDANI YA THAI VILLAGE,LEO NI...
Aneth Kushaba AK 47 akiongoza Waimbaji wenzake kutoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar Winfrida Richard akiwapa mashabiki wa...
View ArticleAnisa Mpungwe na Diamond Platnumz ndio wawakilishi wetu kwenye MTV AFRICA...
Transform Today by AbsolutAnisa Mpungwe (Tanzania)Clarence Peters (Nigeria)I See a Different You (South Africa)Leti Arts (Ghana)Rasty (South Africa) Best Male:Anselmo Ralph (Angola)Davido...
View ArticleLeo katika THE MBONI SHOW tuko na MBUTA NANGA FLORA LYIMO
Flora Lyimo ni mwanadada matata sana akiwa anapatikana nchini Uingereza (UK) ikiwa ndio makazi yake. MBUTA NANGA anavituko sana sasa leo usiku usikose kumtizama katika THE MBONI SHOW inayorushwa na...
View Article(Photo’s) DIAMOND Platnumz aongeza TATTOO 3 mwilini mwake.
Msanii nyota kutoka Bongo Diamond Platnumz ameonekana akiwa na tattoo nyingine mbili kwenye mwili wake tofauti na zile alizochora akiwa China. Tattoo hizo kama ukiitizama hii picha ya juu vizuri utaona...
View Article[Video:Teaser] Tanzania All Stars – Miaka 50 ya Muungano
Zikiwa zimebaki siku chache tu tusherehekee miaka 50 ya muungano wasanii wa muziki wameungana na kutengeneza wimbo wa pamoja kwa ajili ya kusherehekea siku hiyo. Wimbo huu umewakutanisha wasanii wa...
View ArticleHATUA TISA ZINAZOKUWEZESHA KUUFANYA MWILI WAKO UZIDI KUWA MZURI NA MUONEKANO...
1. Kuwa mrembo haimanishi kubadili uhalisia wako. jaribu kutokubadili uhalisia wako wa ngozi 2. Jifunze kuwa mtu wa mazoezi na kuupenda mwili wako. hakikisha unafanaya mazoezi kwa ajili ya kuweka mwili...
View ArticleSean “Puffy” Combs a.k.a P.Diddy kutoa hotuba (Speech) katika Graduation ya...
Sean “Puffy” Combs aka P.Diddy ambae hivi sasa ameamua kurudi kwenye jina lake la zamani la kisanii “Puff Daddy” ambae nae pia alisoma katika university hiyo, imetangazea rasmi kuwa Tarehe 10 ya mwezi...
View ArticleDOWNLOAD: Country Boy, Tash Viva, Cannibal, Leo Mysterio, P The MC & Gway –...
Baada ya Life Goes on iliyoshirikisha wasanii kama Kala Jeremiah, G Nako, Da Hustler na wengine, hii ni release nyingine toka kwenye project ya kubwa kuliko ambayo inategemewa kuwa project ambayo...
View ArticleJUA CALI atangaza nia ya kuingia katika Filamu.
Kwa Tanzania tumeshazoea kuona baadhi ya wasanii wa muziki wakiingia katika kuigiza au wa kuigiza wakiingia katika muziki. Mfano mzuri ni Masanja mkandamizaji aliyekua muigizaji wa vichekesho na kuamua...
View Article(Photo’s) Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa GLOBAL TV ONLINE
Kutoka kushoto: Wasanii Dk. Cheni, Bi. Mwenda, Profesa Jay na Wema Sepetu wakishiriki kukata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa GlobaL TV Online jana. Wema Sepetu na Profesa Jay wakifunua vitambaa...
View ArticleTANZANIA'S BEAUTY HAMISA MOBETO DOMINATING THE FASHION INDUSTRY IN KENYA
Most of us might know her but am pretty sure you have came across one of her photos somewhere. Well Hamisa Mobeto is a radio host and Model from Tanzania, she was featured on Pulse magazine sometime...
View ArticleDOWNLOAD: Prezzo - My Gal (New Song)
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.
View ArticlePrezzo-My Gal (Official HD Video)
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.
View ArticleOperesheni ya kusaka wahalifu yaendelea mkoani Tabora
Kamanda wa Polisi mkoa waTabora Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzan Kaganda leo tarehe 18/04/2014 amefanya Mkutano na waandishi wa habari, na kuzungumzia mambo mbalimbali hasa mafanikio yaliyopatikana...
View ArticleJustin Bieber anusurika kurudishwa CANADA
January 23 mwaka huu nchini Marekani kulianzishwa kampeni ya watu wanaopinga matendo anayofanya msanii Justin Bieber na kusaini fomu maalumu katika website ya White House ili msanii huyo anyanganywe...
View ArticleWEMA SEPETU ASHINDA TUZO YA IJUMAA SEXIEST GIRL, WEUSI, WANAUME FAMILY...
Mrembo Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' akiwa na tuzo yake baada ya kuibuka Ijumaa Sexiest Girl 2013/14 ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo. Wema akiwashukuru mashabiki wake waliompigia kura na...
View Article(Photo's) Utengenezaji wa video mpya ya NAS TATU “NIWEJE”
Nas Tatu msanii mkali anayekuja kwa kasi sana kwenye tasnia ya bongo hip hop, wiki ile iliyoisha alikuwa akishoot video yake mpya aliyoifanya na Izzo B pamoja na Dev Zinda msanii kutoka THT. Wimbo...
View ArticleCHEGE,YP WALIVYOPAGAWISHA WAKAZI WA JIJI LA DAR KWENYE FUKWE YA COCO BEACH
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya wa kundi la TMK Family Chege akiwapagawisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam kwenye Tamasha la Cheka Bombastik lililoandaliwa na Vodacom Tanzania mahususi kwa...
View ArticleYoung Money - Senile (Explicit) ft. Tyga, Nicki Minaj, Lil Wayne (Official...
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.
View ArticleFuture - I Won (Explicit) ft. Kanye West (Official Video)
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.
View Article