Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

SEMINA YA SIKU 2 ILIYOANDALIWA NA TCRA KWA AJILI YA BLOGGERS NA FORUMS ADMINISTRATORS YAKAMILIKA

$
0
0


Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa mtandao huu wa Sufianimafoto, Muhidin Sufiani, baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano, yaliyoanza jana Septemba 17 na kumalizika leo jijini Dar es Salaam, huku yakiwashirikisha mabloger mbalimbali kutoka mikoa tofauti ya nchini.

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa mtandao wa Bongo Celebrity.com, Jeff Msangi, baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano, yaliyoanza jana Septemba 17 na kumalizika leo jijini Dar es Salaam, huku yakiwashirikisha mabloger mbalimbali kutoka mikoa tofauti ya nchini.

Othman Michuzi, akipokea cheti.

Shamim Mwasha, akipokea cheti.

Cathbert Kajuna, akipokea cheti…

Dj Choka, akipokea cheti.

Maxence Melo, kipokea cheti.

Sinta, akipokea cheti.


Mmiliki wa Mtandao wa Sufianimafoto, Muhidin Sufiani (kulia) akiwa na mmiliki wa Mtandao wa BongoCelebrity Jeff Msangi, wakati wa semina maalum kwa wamiliki na waendeshaji wa mitandao pendwa Bloggers, iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano TCRA, iliyoanza jijini Dar es Salaam, jana ambayo imemalizika rasmi leo.

Mmiliki wa Mtandao wa Mbeya Yetu, Joseph Mwaisango, akichangia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo.

Innocent Mungy wa TCRA, akizungumza wakati wa mafunzo hayo…..

Jestina george, akichangia mada

Jeff Msangi, akichangia mada.

Maxence, akichangia mada.

Mtoa mada, Liz wachuka, akitoa mada…

Sehemu ya waliohudhuria semina hiyo…

Mafunzo yakiendelea

Mike Mushi, wa jamii forum, akitoa mada

Mabloger, wakiwa makini kunasa kila kinachozungumzwa.




Mtoa mada, Dotto Kuhenga, akitoa mada

Mtoa mada, Pili, akitoa mada


picha ya pamoja baada ya mafunzo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>