PICHA HAKIMU AKIWA KALOWA DAMU BAADA YA KUCHOMWA KISU MAHAKAMANI SHINYANGA
Hakimu wa mahakama ya mwanzo mkoani Shinyanga achomwa kisu na mlalamikaji baadaya ya kutoa hukumu kwa mtuhumiwa,hakimu huyo alitoa hukumu kwa mtuhumiwa wa wizi wa baiskeli yenye thamani ya 150000 aina...
View ArticleCheki serengeti fiesta 2013 ilivyowapagawisha wakazi wa musoma mkoani mara...
Msanii mwingine anaefanya vyema hivi sasa katika anga ya muziki wa Bongofleva,Rich Mavoko akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu,mbele ya wakazi wa mji wa musoma waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha...
View ArticleOMMY DIMPOZ ALIVYOTEMBELEA STUDIO ZA SAUTI YA AMERICA (VOICE OF AMERICA "VOA")
MTANGAZAJI MASHUHULI SUNDAY SHOMARI AKIMWEKA DIMPOZ KITI MOTO. POZ KWA POZI AKIJIBU MASWALI YENYE UTATA KUTOKA KWA SUNDAY SHOMARY LARY KING WA VOA NAYE ALIMWEKA DIMPOZ KITI MOTO BABU ALIKUWA ANAULIZA...
View ArticleTanzania yaingiza timu mbili robo fainali Airtel Rising Stars
Timu zote za wavulana na wasichana zimeingia robo fainali katika michuano ya kimataifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars yanayofanyika Lagos , nchini Nigeria na mshindi atapata...
View ArticleMkandarasi wa Barabara ya Mbeya hadi Lwanjilo kuilipa Serikali Shilingi...
Mhandisi Mkazi Eng. Peter Gibson (aliyenyoosha mkono) kutoka Kampuni ya Nicholas O’ Dwyer & Partner akimpatia maelezo Waziri wa Ujenzi Mhe. John Pombe Magufuli, kuhusu utekelezaji wa ujenzi wa...
View ArticleUJIO WA VAN VICKER NDANI YA BONGO MOVIE
Van Viker akiwa Irene Paul. Van Viker Akiwa na Wellu Sengo Van Viker, Irene Paul, Hashim Kambi and Wellu Sengo Van Viker,Elizabeth Michael(Lulu) and Simon Mwakifwamba in red and blue shirt
View ArticleREALITY TV SHOW (IN MY SHOES) YA WEMA SEPETU KUONYESHWA EATV NA SIO CLOUDS TV...
. Kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV na EA radio umetoa habari njema kwa mashabiki wa filamu nchini baada ya muigizaji maarufu wa Bongo Movie maarufu kama Wema Sepetu kuanza kuweka wazi maisha yake...
View ArticleHAPPINESS WATIMANYWA AIBUKA MSHINDI REDDS MISS TANZANIA 2013
MISS Tanzania 2013, Happiness Watimanywa akipunga mkono mara baada ya kuvikwa taji la Redd’s Miss Tanzania 2013 usiku wa Septemba 21, Ndani ya Ukumbi wa Mlimani City na kuwashinda warembo wenzake 29....
View ArticleTaswira Mbalimbali Za Ufunguzi Wa Michezo ya Shimiwi Mjini Dodoma
Wanamichezo wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya umma wakiingia uwanjani wakati wa ufunguzi wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI) Wanamichezo wa...
View ArticleHABARI PICHA: HALI ILIVYOKUWA KATIKA UVAMIZI WA KENYA
Baadhi ya majeruhi katika shambulio la kigaidi jijini Nairobi. Hali ilivyokuwa ndani ya jengo lililovamiwa na magaidi. Walioshuhudia tukio hilo wanadai watu waliovalia magwanda yalioonekana kama ya...
View ArticleMTUHUMIWA AJISAIDIA HAJA KUBWA MBELE YA HAKIMU
KIOJA cha mwaka kilitokea Jumatano wiki hii katika Mahakama ya Jiji ya Sokoine Drive jijini Dar es Salaam, baada ya mkazi mmoja wa Buguruni, Hassan Omary kujisaidia haja kubwa kizimbani wakati...
View ArticleMAKAMU WA RAIS, BUNGE WAANZA VYEMA SHIMIWI KATIKA MCHEZO WA KAMBA
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Kamba ya Ofisi ya Makamu wa Rais, wakishangilia ushindi wao baada ya kuwaburuza timu ya Katiba na Sheria katika raundi mbili mfululizo, katika mchezo wao uliochezwa leo...
View ArticleMbio za Kilimanjaro Marathon zazinduliwa rasmi jijini Dar
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante Ole Gabriel akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi rasmi wa Mbio za Kilimanjaro Marathon zinazotarajiwa kufanyika...
View ArticleNani Mtani Jembe?” Katika Mitaa ya ARUSHA
Watalii kutoka nchi mbalimbali wakicheza pamoja na washereheshaji wa kampeni ya ‘Nani Mtani Jembe’ inayohusisha mashabiki Simba na Yanga, ili kuzipigia kura timu zao na kushinda kitita kingi kati ya...
View ArticleJK ATUA SRI LANKA LEO KUHUDHURIA KIKAO CHA CHOGM 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa ngoma za kitamaduni mara baada ya kuwasili jijini Colombo, Sri Lanka, leo Novemba 14, 2013 tayari kwa mkutano wa wakuu wa nchi...
View ArticleRais Kikwete akutana na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa jijini Colombo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa alipomtembelea kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo Novemba 14, 2013 kabla ya ufunguzi rasmi wa...
View ArticleMkutano wa Maafisa Waandamizi wa Afro Arab Summit wafunguliwa nchini Kuwait
Meza Kuu wakati wa Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Ushirikiano baina ya Nchi za Afrika na Kiarabu {Afro Arab Summit} ulioanza tarehe 14 Novemba, 2013 nchini Kuwait Mwenyekiti wa Mkutano wa Maafisa...
View ArticleSALHA ISRAEL ALIPOTEMBELEA KAMBI YA TANZANIA TOP MODEL 2013
Salha israel mrembo alieng'ara miaka ya 2011 katika mashindano ya urembo nchini,akiongea na washiriki wa Tanzania Top Model 2013 namna ya kujiamini wakiwa katika jukwaa na kujibu maswali endapo...
View ArticleKINANA AFANYA MKUTANO WA HADHARA NA WANANCHI WA NAKAPANYA WILAYANI TUNDURU...
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akitolea ufafanuzi wa kina kwa Wakazi wa kijiji cha Nakapanya Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma mapema leo jioni,kuhusiana na tatizo sugu la bei ya zao la...
View Article