CHEKI JINSI SERENGETI FIESTA 2013 TABORA ILIVYOBAMBA
Abdul Kiba,msanii wa muziki wa bongofleva akiimba mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa...
View ArticleICHEKI NEW VIDEO: LUCCI & JOKATE- KAKA DADA
Ni video ya wimbo mpya kutoka kwa mtayarishaji wa muziki hapa Tanzania maarufu kama 'Lucci' akiwa na Jokate unaofahamika kwa jina la Kaka Dada.Itazame hapa
View ArticleMAKAHABA WEMBAMBA WALIA BAADA YA KUKOSA SOKO SASA WAAMUA KUJIUZA KWA...
MAKUBWA! Madogo yana nafuu! Wanawake wenye maumbile makubwa wanaofanya biashara haramu ya kuuza miili yao jijini Dar, wamefunguka kwamba wanaume wamekuwa wakiwapenda kwa sababu ya ubonge wao. Baadhi...
View ArticleAIBU: PICHA CHAFU ZA MTU NA MCHUMBA WAKE ZAVUJA .
Aibu sana inakuwaje unafanya mapenzi na mpenzi wako ama mchumba kabisa unae tarajia kumua alafu unapiga picha faragha yenu kwenye simu yako na kukaa na hizo picha bila kufkiria labda unaweza poteza...
View ArticleSNURA AKANA KUHUSIKA NA BIASHARA YA KUUZA MADADA POA
Snura 'Majanga', Baada ya kukaa na maumivu moyoni kwa muda mrefu hatimaye leo hii ameamua kufunguka na kusema kuwa anaumizwa sana moyo na wale wote wanaomhusisha ama kumtuhumu kuwa njia yake kubwa ya...
View ArticleVIUNGO VYA MAITI VYAUZWA MOCHWARI
OPARESHENI Fichua Maovu ‘OFM’ bado iko mitaani ikiibua mambo, wiki hii ilitia timu Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani kilomita chache kutoka jijini Dar es Salaam. Kiganja cha binadamu. Safari hiyo...
View ArticleTAZAMA BABA YAKE BOB JUNIOR AKIFANYA SHOO YA NGUVU NCHINI FINLAND.
Bob Junior ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva lakini kipaji hicho ni kama amerithi kutoka kwa baba yake mzazi Mr. B Rummy Nanji ambaye pia ni mwanamuziki maarufu akifanya kazi zake ulaya Weekend...
View ArticleSHAHIDI KESI YA WEMA AGEUKA ‘BUBU’ GHAFLA
KESI inayomkabili staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ya kudaiwa kumtukana matusi ya nguoni na kumpiga vibao meneja wa hoteli, Goodluck Kayumbu ilizua kituko baada ya shahidi kugeuka ‘bubu’ ghafla....
View ArticleKAULI YA MWASITI KUHUSU ALICHOKISEMA NEY WA MITEGO KWAMBA KIGOMA ALL STARS...
Leo hii msanii na muhasibu wa Kigoma All Stars, Mwasit Almasi a.ka Mwasiti amezungumza juu ya tuhuma za rapper Ney wa mitego kupitia wimbo wake "nasema nao" kuwa Kigoma All Stars imekufa....
View ArticleCHEKI PICHA ZA VIDEO MPYA YA DIAMOND ALIYOSHOOT AFRIKA KUSINI.
Diamond anatarajia kutengeneza tena vichwa vya habari pale atakapoachia video ya wimbo mpya ‘Number 1′ aliyoshoot mwezi huu nchini Afrika Kusini. Video hiyo ambayo Diamond anasemekana kutumia zaidi ya...
View ArticlePENZI LA KWELI HALIFI: WATAZAME WASANII LINAH NA AMINI WALICHOFANYA SERENGETI...
Amini na Linah wakikumbushiana kama zamani...(picha kwa hisani ya bongo5) Wasanii lukuki wa muziki wa kizazi kipya usiku wa jana wamewapatia burudani wakazi wa Tabora kwenye show ya Fiesta...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM TAIFA AZINDUA BARAZA LA USHAURI LA CCM MKOANI DODOMA
Mwenyekiti wa CCM Taifa akiwasili kwenye viwanja vya Makao Makuu ya CCM Dodoma,tayari kwa ufunguzi wa baraza la ushauri la Wazee wa Chama,kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Taifa ndugu Abdulrahman Kinana...
View ArticleHATIMAYE MTOTO WA KIM NA KANYE AONEKANA
Ukitaja Kim Kardashian na Kanye west lazima watamjumuisha na Jina la mtoto wao North west, Ingawa apo mwanzo apakuwa na taswira ya mtoto huyo muonekana wake ukoje. Ilitegemewa picha za mtoto North...
View ArticleNISHA : NEY WA MITEGO ALIHANGAIKA KWA MIAKA MIWILI MPAKA KUJA KUWA MPENZI WANGU
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema hata kama msanii Nay wa Mitego akiwa na mpenzi mwigine kwa sasa lakini anajivunia kupendwa na kijana huyo kwani alihangaika sana kumpata....
View ArticleASKARI WAVAMIA NYUMBA YA WATANZANIA CHINA WAKISAKA MADAWA YA KULEVYA
Stori:Erick EvaristCHINA kumekucha! Sakata la kusafirisha madawa ya kulevya ‘unga’ linazidi kulitafuna taifa, safari hii limechukua sura mpya baada ya askari nchini China kufanya oparesheni maalum ya...
View ArticleJINSI YA KUMPATA UNAYEMTAKA KIMAPENZI
Kuna wanaume wengi wamekuwa wakikosea kutongoza.Wapo wengine labda amempenda binti fulani lakini anashindwa cha kufanya. Kuna wakati unaweza kukuta mwanaume anachokifanya anampa ofa mwanamke,mara...
View ArticleCHEKI KILI TOUR ILIVYOKUWA JIJINI MBEYA
Awilo wa Mbeya amefungua burudani Back Stage Fid Q na Izzo Biznes Snura akitoa burudani umati wa wananchi Barnaba akitoa burudani Linex #Kimugina akifanya yake Linex na Barnaba Backstage Ben Pol na...
View ArticleMSONDO NGOMA YATUMBUIZA KWA MARA YA KWANZA BILA GURUMO BAADA YA KUSTAAFU MUZIKI
Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi...
View Article