Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Browsing all 3319 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TID AKERWA NA UZUSHI WA BAABKUBWA MAGAZINE.

Katika hali isiyo ya kushangaza msanii TID amefunguka kupitia ukurasa wake wa facebook na kuonekana kukerewa na gazeti la Baabkubwa na kuandika kifuatacho Hahahaha jamani acheni kumuudhi TID na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB YAWEZESHA MKUTANO WA WASAMBAZAJI MAFUTA NA GESI NCHINI TANZANIA

Mwishoni mwa wiki NMB ilifadhili mkutano wa makampuni na taasisi ambazo wamepewa dhamana ya uchimbaji na usambazaji wa mafuta na gesi nchini. Mkutano huo ulifanyika katika hotel ya Hyatt Regency...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CATHERINE FOUNDATION YATOA MKONO WA IDD EL FITIRI KWA YATIMA ARUSHA

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha na Mkurugenzi wa Taasisi ya Catherine Foundation, Catherine Magige akikabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Help for...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAELEZO NDANI YA MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE NZUGUNI DODOMA

IDARA ya Habari MAELEZO ni Moja ya Taasisi za Serikali zilizo chini ya Wizara ya Habari, vijana Utamaduni na Michezo ambayo ndio Idara yenye jukumu la kusimamia na kuratibu shughuli zote za habari za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA KUMUAPISHA RAIS WA IRAN.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Kiislam ya IRAN Mhe. Al-Akbar Hashemi Rafsanjani wakati Makamu wa Rais alipofika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE NA MARAIS WASTAAFU MZEE MWINYI NA MZEE MKAPA WAALIKWA FUTARI KWA...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjmani William Mkapa na Rais wa Awamu ya nne Alhaj Ali Hassan Mwinyi wakati wa futari iliyoandaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AMTEUA JAJI FRANSIS MUTUNGI KUWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA.

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mh. Francis Mutungi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha majaji 10, iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam mwaka jana. (Picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Azam yaanza vibaya Sauzi, yapigwa 3-0

Na Bin Zubeiry AZAM FC imeanza vibaya ziara yake ya mechi za kujipima nguvu mjini hapa, baada ya kufungwa mabao 3-0 na wenyeji, Kaizer Chiefs katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa mazoezi wa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMBAZI LANUSURIKA KIFO JIJINI DAR ES SALAAM.

Jambazi akiwa hoi katika hospitali ya Mwananyamala baada ya kupewa kichapo na wananchi wenye hasira kali. KIJANA mmoja ambaye hajafahamika jina lake anayedaiwa kuwa ni jambazi amenusurika kuuawa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TENGA AMSHUKURU MSAJILI KWA KUSAJILI KATIBA YA TFF

Na Boniface Wambura, Dar Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amemshukuru Msajili wa Klabu na Vyama vya Michezo nchini kwa kusajili Katiba ya TFF toleo la 2013 kutokana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUDUMA YA UTOAJI WA TAARIFA ZA WAHAMIAJI HARAMU UMEZINDULIWA LEO HII JIJINI...

Watanzania wametakiwa kuitumia vema huduma mpya ya utoaji taarifa za wahamiaji haramu pamoja na taarifa za waathirika wa biashara hiyo, ili kupata msaada na kupunguza kasi ya biashara hiyo nchini....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM YAANZA ZIARA NCHINI AFRIKA YA KUSINI, LEO KUIKABILI KAISER CHIEFS

Makamu bingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), Timu ya Azam Fc, wameanza rasmi ziara ya mechi za kirafiki nchini Afrika Kusini, ambapo leo watakuwa na kibarua kigumu cha kuumana katika mchezo wake wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA MAKINDA, AFUNGUA BARAZA LA KATIBA LA CHAMA CHA WABUNGE WANAWAKE...

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda leo amefungua rasmi mkutano wa siku tatu wa Baraza la Katiba la Chama cha wabunge wanawake Tanzania (TWPG) mjini Bagamoyo. Pichani, Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FBME ilipotoa misaada kisiwa cha Tumbatu

Mkurugenzi wa uendeshaji wa benki ya FBME, Nassor Dachi (kulia) akikabidhi sadaka ya chakula kwa Bi Kazija Haji huko kisiwa cha Tumbatu Zanzibar jana.picha na Martin kabemba. Mfanyakazi wa benki ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali hoi ugaidi dhidi ya Chadema

    Jaji afuta mashtaka dhidi ya makada watanoMahakama Kuu Kanda ya Tabora, imefuta tuhuma za ugaidi zilizokuwa zikiwakabili makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), huku ikitoa tahadhari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKI MAMBO YA DIAMOND HUKO SOUTH AFRICA

Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa. Hata hivyo tofauti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKI KURASA ZA MAGAZETI SIKU YA LEO AGOSTI 6/2013

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TV SHOW YA IRENE UWOYA! KUMBE NA MASTAA WAKUBWA WA BONGO WANAHUSIKA

“Nafurahi kuona jinsi kioo cha jamii hivi sasa kimeigusa familia kabisa, ukizungumzia nyumba unagusa swala la familia ambalo ndiyo msingi wa Taifa lolote.” Haya yalikuwa ni baadhi ya maneno ya Mtitu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Grandmalt yafuturisha wadau wake.

Meneja masoko wa Tbl Fimbo Mohamed Buttala akizungumza na waandishi wa habari kwenye futari maalum iliyoandaliwa na kinywaji cxha GrandMalt ikiwa ni sehemu ya kutambua Mwezi mtukufu wa ramadhani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA RUKWA ATEMBELEA MAONESHO YA WAKULIMA NANENANE NYANDA ZA JUU...

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya (katikati) akikagua mfumo wa umwagiliaji bustani za mbogamboga katika maonesho yanayoendelea ya nanenane kanda ya nyanda za juu kusini jijini Mbeya. Mkuu...

View Article
Browsing all 3319 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>