Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

TID AKERWA NA UZUSHI WA BAABKUBWA MAGAZINE.

$
0
0

Katika hali isiyo ya kushangaza msanii TID amefunguka kupitia ukurasa wake wa facebook na kuonekana kukerewa na gazeti la Baabkubwa na kuandika kifuatacho

Hahahaha jamani acheni kumuudhi TID na Ramadan yote hii. Kama mnataka ukweli mfateni atawaeleza na si kumzushia kama mwenyewe anavyo dai.

Issue yenyewe anayowakia nadhani ni hii kwenye toleo hili linlo dai TID Kuoa Soon.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>