Mashindano ya kusoma Quran tukufu kitaifa yamalizika
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Abdallah Abdulkadri akisoma wakati wa fainali zake leo Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Seif Salim Said ambaye ni mremavu wa...
View ArticleKUNDI LA SCOPION GIRLZ KWISHA HABARI YAKE,SASA VIPANDE VIPANDE..WATUPIANA...
MEMBA wa Kundi la Scorpion Girls, Isabela Mpanda ‘Bela’ na Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ wametofautiana hadi kufi kia hatua ya kutukanana na kutupiana nguo nje.Mpango mzima ulitokea hivi karibuni...
View ArticleMJANE WA ASKARI ALIYEFIA DARFUR ATUPIWA VIRAGO
Kibaha/Tanga. Hata kabla ya maziko askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), waliouawa Darfur, Sudan hayajafanyika, mchumba wa mmoja wa wapiganaji hao, Amina Juma ameonja chungu nyingine baada...
View ArticleTANGA SOBER HOUSE: REHAB INAYOWANUSURU VIJANA NA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA,...
Vijana walioacha kutumia dawa za kulevya wakiomba dua kabla ya kuzungumza na mwandishi wa habari hizi Dotto Kahindi wa kwanza kulia.…
View ArticleAKATWA MIGUU KISA MKE WA MTU.
Damu: Miguu ya Said Iddi ikivuja damu baada ya kukatwa. Na Mwandishi Wetu, Kilosa ALI Omar, mkazi wa Kijiji cha Mabana, wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumkata...
View ArticleTAIFA STARS YATUA UGANDA KUIVAA THE CRANES
Taifa Stars imewasili salama hapa Kampala tayari kwa mechi ya marudiano ya mchujo dhidi ya Uganda (The Cranes) kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Tatu za Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN)...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KCU MJINI BUKOBA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la Kagera Coperative Union (KCU) jana Julai 24, 2013 mjini Bukoba. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mara baada ya kuzindua...
View ArticleTASWIRA ZA KUMBUKUMBU ZA MASHUJAA MKOANI IRINGA LEO
Mwakilishi wa wananchi mkoa wa Iringa, Mzee Said Mdota akitoka katika mnara wa mashujaa baada ya kuweka shoka la kumbukumbu. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Gerald Guninita ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya...
View ArticleBINTI APOTEA AKIELEKEA SHULENI
Binti aliyepotea Martha Joseph. Martha Joseph mwenye umri wa miaka 16 ni manfunzi wa Chuo cha Ufundi cha Saint Peter Parish. Aliondoka nyumbani akielekea shuleni huko Oysterbay akiwa amevalia nguo...
View ArticleMMILIKI WA HOME SHOPPING CENTRE AKIWA HOSPITALINI SOUTH AFRICA BAADA YA...
MFANYABIASHARA maarufu na Mmiliki wa maduka ya Home Shopping Center (HSC), Said Mohamed Saad, ambaye wiki iliyopita alimwagiwa tindikali maeneo ya Msasani City Mall, jijini Dar es Salaam, sasa yuko...
View ArticleHUYU NDIYE YULE NJEMBA ALIYEVUNJA REKODI KWA KUTOOGA ZAIDI YA MIAKA 37
Mr Singh na Mkewe Hakika haya tunaweza kuyaita mafanikio ya ajabu kwa mzee huyu kutokana maamuzi yake.Labda tumite Mr Adui wa Maji ila jina lake kamili ni Mr Kailash Singh akiwa na ndiye anayeshikilia...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA JENGO LA MAHAKAMA KUU KANDA YA BUKOBA LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua pazia kuzindua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akisaidiwa na Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande...
View ArticleHII NDIYO ILE KUFA KUFAANA
Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakikinga maziwa kwenye kontena la kampuni ya maziwa ya Tanga Fresh baada ya kichwa cha kontena hilo kuchomoka na kuacha njia eneo la ubungo mataa leo Julai 24,...
View ArticleTASWIRA ZA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MASHUJAA MOROGORO 2013
Muonekano wa eneo la nnara wa mashujaa uliopo eneo la Posta wakati wa maadhimisho ya sherehe ya kuwakumbuka mashujaa waliopoteza maisha katika vita kuu ya pili ya dunia na zile za Kagera mwaka...
View ArticleHIVI NDIVYO TAIFA STARS ILIVYOPIGA HODI JIJINI KAMPALA
John Bocco akiwasili katika Hotel waliyofikia jijini Kampala Wachezaji wa Timu Ya Taifa (Taifa Stars) inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakiwsili katika hoteli ya Mt. Zion ambapo...
View ArticleMuimbaji mahiri wa Zimbabwe Chiwoniso Maraire afariki dunia.
Chiwoniso Mmoja wa waimbaji maarufu wanaofahamika nchini Zimbabwe Chiwoniso Maraire amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 37.Albam aliyoitoa Chiwoniso iliyoitwa ‘Ancient Voices’ ilimfanya kuwa staa...
View ArticleMazoezi ya Yanga kama jeshini
Yanga mazoezini. Khatimu Naheka na Joan Lema KIKOSI cha Yanga kinaendelea na mazoezi makali, lakini endapo utafanikiwa kuyashuhudia ni wazi utadiriki kusema ni kama yale ya jeshini. Katika mazoezi ya...
View ArticleKIJIJI CHA MAKAHABA CHAIBULIWA.
Na Chande Abdallah ILE Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ chini ya Global Publishers ipo kazini! Safari hii imekutana na tukio la aina yake baada ya kumnasa kikongwe mmoja anayedaiwa kumiliki idadi kubwa ya...
View Article