Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

HIVI NDIVYO TAIFA STARS ILIVYOPIGA HODI JIJINI KAMPALA

$
0
0


John Bocco akiwasili katika Hotel waliyofikia jijini Kampala


Wachezaji wa Timu Ya Taifa (Taifa Stars) inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakiwsili katika hoteli ya Mt. Zion ambapo wamefikia huku wakijiandaa na mechi ya Jumamosi dhidi ya Uganda Cranes kuwania kufuzu mashindano ya CHAN.NA SHAFFIH DAUDA


Stars leo wamepumzika na kesho watafanya Mazoezi katika Uwanja wa Mandela uliopo Nambole ambapo mechi ya Jumamosi itapigwa.


Erasto Nyoni





Mrisho Ngassa




Nahodha Juma Kaseja




Kevin Yondani


Aggrey Morris



Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>