Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Abdallah Abdulkadri akisoma wakati wa fainali zake leo
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Seif Salim Said ambaye ni mremavu wa macho akisoma wakati wa fainali zake leo.
Baadhi ya viongoza wa Dini wakifatilia mashindano hayo leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee
Baadhi ya wanafunzi walioshiliki katika kusoma
Quran tukufu.
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Ummy Swaleh Said ambaye ni mremavu wa macho akisoma wakati wa fainali zake leo
Baadhi ya waumini wa Dini Ya Kislam wakiongozwa na Bi,Aisha Sururu wakifatilia Mashindano Hayo
Bi Aisha Sururu akifatilia mashindano hayo yaliyomalizika leo
Zawadi walizopewa washindi
Mgeni Rasmi wa Mashindano ya kuifadhi Quran tukufu kitaifa DR, Suleiman Ally Yussuf katikati na Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran ,Morteza Sabouri wakimkabizi zawadi wa chereani mshindi wa kusoma juzuu 20
Mgeni Rasmi wa Mashindano ya kuifadhi Quran tukufu kitaifa DR, Suleiman Ally Yussuf kulia na Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran ,Morteza Sabouri wakimkabizi zawadi ya bajajji pamoja na pesa taslmu laki tano mshindi wa kuhifadhi Quran tukufu, Suria Ally Bakari leo.
Mgeni Rasmi wa Mashindano ya kuifadhi Quran tukufu kitaifa DR, Suleiman Ally Yussuf kulia akimkabidhi mshindi bajaji na pesa taslimu laki tano mshindi Abdul Hamid .
Baadhi ya washindi wa kuhifadhi Quran Tukufu wakiomba Duwa baada ya kumalizika mashindano hayo.