WAKONGWE WA FILAMU BONGO MOVIE WAFANYA YAO DAR LIVE...!
Mastaa wa filamu Bongo, Dk. Cheni (kushoto), Wastara Juma (katikati) na Mzee Chilo (kulia) wakitoa burudani juu ya steji ya Dar Live.Mzee Chilo akijiachia stejini na Wastara. Mwigizaji Wastara Juma...
View ArticleSIRI YA LULU KUWA NA UMBO LA KUVUTIA HII HAPA
SIRI ya muonekano mzuri wa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ imefichuka baada ya kubainika kuwa, amekuwa akifanya mazoezi kila siku kwa kwenda gym. Lulu akifanya mazoezi. Lulu alianika...
View ArticleMAPENZI YA DIAMOND NA WEMA SEPETU SI KIFICHO TENA, HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA...
Diamond na Wema Sepetu hakuna ubishi ni wapenzi rasmi kama zamani na Peniel Mungilwa hana chake kutokana na ishara za wawili hao kuwa penzini waziwazi. Habari mpya ni kuwa show ya Diamond jana...
View ArticleSkylight Band yaporomosha burudani ya kukata na shoka X-MASS ndani ya kiota...
Vijana wa Skylight Band wakionyesha manjonjo yao kwa mashabiki wa Band hiyo wakati wa sherehe za X-MASS ndani ya fukwe za kiota cha Escape One walipotoa burudani ya kukata na shoka kwa mashabiki wao....
View ArticleTASWIRA NDOA YA HENRY KILEWO NA JOYCE KIRIA ILIYOFANYIKA JANA DEC 26,2013
Ni hatua waliyoipitia kwa siku ya jana Dec 26,2013.Asante kwa kutembelea blog yangu, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.
View ArticleWema Sepetu "IN MY SHOES" True Stars/Miss Tanzania Episode 9
Asante kwa kutembelea blog yangu, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.
View ArticleDOWNLOAD MIXTAPE MAARUFU DUNIANI (COAST2COAST) YENYE WIMBO WA GOSBY KUTOKA...
Wimbo wa BMS wa mwanamuziki Gosby kutoka Tanzania umeweka historia kuwa wimbo pekee kutoka Africa Mashariki na Kati kuweza kuingia kwenye (mixtape) no1 duniani ya Coast 2 Coast ya nchini Marekani, BMS...
View ArticleGraffiti Yangu Ya Leo Na Maneno Machache Kwa Wadau Wa Mwinyi Blog.
Mwinyi Ally AbuuMwinyi Blog ipo kwa ajili ya habari za matukio mbalimbali, michezo, burudani kama miziki au vibao mbalimbali vya wasanii vitakuwa vinaachiwa pande hizi. Wewe kama msanii wa mziki...
View ArticleCheki Jinsi Jackline Wolper Alivyotokelezea Na Mchomoko Wa Siku.
Jackline Wolper Masawe akiwa katika pozi, she is so pretty and stylish. Asante kwa kutembelea blog yangu, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya...
View ArticleHIVI NDIVYO WAKAZI WA DAR WALIVYOPAGAWISHWA NA TAMASHA LA CHEKA BOMBASTIK
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la TMK Wanaume "Chege "akionyesha umahiri wake wa kutawala jukwaa wakati wa Tamasha la Cheka Bombastiki lililofanyika katika ufukwe wa Coco beach jijini...
View ArticlePATA BURUDANI KUTOKA KWA KEKO - See Ya (Official Video)
Asante kwa kutembelea blog yangu, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.
View ArticleTASWIRA KATIKA MAZISHI YA MWANAFUNZI WA CBE ZEINABU J KASENGA ALIYEFARIKI...
MAREHEMU ZEINABU J KASENGA Rais wa Serikali ya Wanafunzi CBE Dodoma Mhe, Remidius M. Emmanuel alishiriki kwenye mazishi ya marehemu Zeinabu J. Kasenga katika makaburi ya Wahanga (maili mbili) mnamo...
View ArticleJINSI MWILI WA MAREHEMU SAMWEL P. KITULA ULIVYOAGWA CBE DODOMA.
Mnamo saa nane ( Mchana) mwili wa marehemu Samwel P. Kituli uliwasilishwa chuo cha CBE Dodoma kuagwa na wanafunzi wenzake. Baada ya hapo mwili huo unasafirishwa kuelekea mkoani kwao marehemu. Huu ni...
View ArticleCheki Picha za utengenezwaji wa video ya Mrs.superstar ya Young Killer.
Mwanzoni mwa wiki hii zao la Serengeti Fiesta Super Nyota 2012 Young Killer alikua akishoot video ya nyimbo yake iitwayo Mrs.Super Star,audio ya nyimbo hii imefanywa na Mona Gangstar toka Classic...
View Article(NEW AUDIO) MASAI WA KIGOMA ft MUKI & FRAGA - TATIZO MTONYO { COMING SOON -...
Asante kwa kutembelea blog yangu, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.
View ArticleHuyu ndiyo Mtoto wa Peter Okoye na Lola Omotayo
Hapa akiwa na baba yakeHapa akiwa na rafiki yakeAsante kwa kutembelea blog yangu, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.
View ArticleWATOTO 15 WATINGA FAINALI ZA SHINDANO LA "MO KIDS GOT TALENT 2013", FAINALI...
Lango kuu la kuingilia kwenye Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar panapofanyika shindano kali la kusaka kipaji cha SUPA STAA wa watoto na vijana! la “MO Kids Got Talent 2013″ .Wazazi...
View ArticleHii Ndiyo "WAITE RECORD'S" Studio ya "Mjomba" Mrisho Mpoto
Studio hii ambayo Mrisho Mpoto ameipa jina la "WAITE RECORD'S" anatarajia kuizindua siku ya kesho. Asante kwa kutembelea blog yangu, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee...
View Article