HUU NDIYO MUONEKANO MPYA WA RAY, CHEKI HAPA.
Muonekano mpya wa Staa wa Bongo Movies,Vincent Kigosi’Ray’ . •
View Article(NEW SONG) NEY WA MITEGO ~ NAKULA UJANA
Hii ni ngoma mpya kutoka kwa Ney wa mitego baada ya ile ya Salaam zao ambayo amewachana watu wengi ndani yake.Jina la ngoma hii ni ‘Nakula Ujana’, imetengenezwa MJ Records chini ya prodyuza Marco...
View ArticleWAONE WASHIRIKI WA MISS TANZANIA USA
Sham Thabeet From Massachusetts Doreen Rumaya From Pennsylvania Joy Kalemera From Maryland Julia Nyerere From Maryland Alice Mhina From Maryland Namala Elias From Maryland Hellena Nyerere From Maryland...
View ArticleNew Hit From Tash A.K.A Masai Tozi - Mule Mule Tena Coming Soon.
Trak mpya kutoka kwa Tash A.k.A Masai tozi ikiwa imetengenezwa chini ya producer Mesen Selekta itasikika soon, wapenzi na mashabiki wa Tash Mzee wa Mule Mule wakae mkao wa kula maana ni historia mpya...
View ArticleJe, unahitaji Photo Cover? Mwinyi Ally Abuu Ni Jibu Pekee.
Mwinyi Ally AbuuTunatengenezesha Photo Cover za kijanja za aina yoyote kwa wanaohitaji, ikiwa ni pamoja na matangazo ya biashara za watu mbalimbali au tukio lolote lile muhimu. Wasiliana nasi kupitia...
View ArticleP-SQUARE WAWASILI JIJINI DAR, KUTUMBUIZA JUMAMOSI HII VIWANJA VYA LEADERS CLUB
Wanamuziki wa kundi la P- Square Peter na Paul Okoye wakisalimiana na Mtangazaji wa kiruo cha Televisheni cha EATV, mapema baada ya kuwasili katika Uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Nyerer e jijini Dar...
View ArticleKambi ya Tanzania Top Models yahamia Giraffe Ocean View hotel, Dar es salaam
Wanamitindo wanaoshiriki shindano la Tanzania Top Models, jana walihamia Giraffe Ocean View Hotel iliyopo jijini Dar es salaam kuendelea na Kambi yao iliyoanza 7/11/2013. Kwenye picha hizi wanaonekana...
View Article(New Audio) Biggie Boss ft. Saigo & Mchizi Mox – Machale Yamenicheza
Mambo Vp Wadau…Pateni ujumbe huu unaoitwa “MACHALE YAMENICHEZA”..Hii ngoma ni ya Biggie Boss akiwa amewashirikisha Saigon kutoka Diplomats na Mchizi Mox kutoka Wateule..Ngoma hii ni Inspiration...
View Article(Audio) Dipper ft Gentriez – U Got Me
Mwanadada Dipper amshirikisha Gentriez katika “U Got Me“,sweet reggae riddim juu ya mdundo wa Corner Shop Riddim na vocal pande za noizmekah studios chini ya Defxtro, Sikiliza/download HAPA na kwa...
View ArticleVIDEO YA DIAMOND YAANZA KURUSHWA KWENYE TELEVISION ZA KIMATAIFA ZA BURUDANI,
Lilikuwa swali kwamba inakuaje video iliyotumia gharama kubwa zaidi ya msanii wa bongoflava haipati airtime kwenye vituo vya kimataifa wakati video nyingine za wasanii wa muziki huu huu wanafanikiwa...
View ArticleFASHION NIGHT OUT DAR ES SALAAM 2013 YA RIO PAUL KUFANYIKA NOVEMBA 30
USAHILI WA KUTAFUTA WANAMITINDO WATAKAO FANYA FASHION SHOW ILIYOANDALIWA NA INTERNATIONAL TANZANIAN FASHION STYLIST RIO PAUL AMBAYE HIVI KARIBUNI ANATARAJIWA KUZINDUA COLLECTION YAKE YA TATU YA MAVAZI...
View ArticleP-SQUARE WAAHIDI SHOO YA NGUVU LEADERS CLUB KESHO
Kutoka kushoto ni wanamuziki: Joh Makini, Peter Okoye, Profesa Jay, Paul Okoye, Ben Pol na Lady Jaydee baada ya kuongea na wanahabri leo katika Hotel ya Kilimanjaro Hyatt Regency tayari kwa shoo ya...
View ArticleANGALIA MUONEKANO WA WA JUKWAA LA P~ SQUARE LIVE IN DAR HATUA ZA MWANZO
Ikiwa imebaki siku moja tu kabla ya show ya kihistoria inayosubiriwa na wengi kufanyika ndani ya viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam, tayari jukwaa litakalotumiwa na wasanii wanne kutoka hapa...
View ArticleP –SQUARE WATETA NA VYOMBO VYA HABARI NCHINI, WATEMBELEA NA KUTOA ZAWADI KWA...
Wanamuziki kutoka Nigeria, Paul Okoye wa kwanza kulia, akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu tamasha watakalolifanya kesho Jumamosi. Novemba 23 katika viwanja vya Leaders Club,...
View ArticleTaarifa rasimi ya CHADEMA kuhusu kuwavua uongozi Zitto Kabwe, Dr. Kitila...
Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema imewavua Uongozi Viongozi wake watatu baada ya Kugundua waraka wa Siri uliowahusisha na mpango wa kukipasua Chama vipande vipande. Viongozi...
View ArticleHatimae ile siku iliyokuwa ikisubiria kwa hamu na mashabiki wa muziki nchini,...
Hatimae ile siku iliyokuwa ikisubiria kwa hamu na mashabiki wa muziki nchini, imefika ambapo leo huenda ikavunjwa rekodi za burudani hapa nchini, kwa mara ya kwanza kwa wasanii wa Afrika kupewa...
View ArticlePata Kujua Historia ya Msenegali "Aliuane Badara" maarufu kama "Akon"
Aliuane Badara Akon Thiam amezaliwa tar. 30 Aprili1973, anayefahamika zaidi kwa jina lake la kati na ambalo analitumia kwa usanii; Akon ni chotara wa Msenegali na Mwamerika ambaye ni mwimbaji na mtunzi...
View ArticleTASWIRA MBALIMBALI ZA MAHAFALI YA NNE YA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)
Bendi ya Jeshi la Wananchi likiongoza masafara wa elimu kuelekea katika viwanja vya Chimwaga kwaajili ya Mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyohitimishwa leo kwa Wahitimu Mbalimbali...
View Article