Trak mpya kutoka kwa Tash A.k.A Masai tozi ikiwa imetengenezwa chini ya producer Mesen Selekta itasikika soon, wapenzi na mashabiki wa Tash Mzee wa Mule Mule wakae mkao wa kula maana ni historia mpya pia ndani ya muziki huu wa bongo flava. New Hit Coming
Soon!!!!!