
MTANGAZAJI MASHUHULI SUNDAY SHOMARI AKIMWEKA DIMPOZ KITI MOTO.

POZ KWA POZI AKIJIBU MASWALI YENYE UTATA KUTOKA KWA SUNDAY SHOMARY

LARY KING WA VOA NAYE ALIMWEKA DIMPOZ KITI MOTO

BABU ALIKUWA ANAULIZA MASWALI YA KUFURAHISHA TU !


PROMOTER/MANAGER WA DIMPOZ USA TOUR BWANA "DMK" MWENYE TSHIRT NYEKUNDU AKIFURAHIA JAMBO PAMOJA NA SUNDAY SHOMARY NA DIMPOZ

POZ KWA POZ NDANI YA MITAA YA WASHINGTON DC AKIWA AMECHILL MBELE YA GARI LA PROMOTER/ USA TOUR MANAGER WAKE BWANA DMK

![]() |
DIMPOZ NA DMK WAKIWA BUSY KWENYE TEXT WAKIPOKEA REQUEST NYINGI ZA TICKET ZA SHOW CAMERA YA SWAHILI TV AMBAO NDIO WADHAMINI WA DIMPOZ USA TOUR ITAENDELEA KUKULETEA HABARI EXCLUSIVE ZA DIMPOZ AKIWA MITAANI USA. ENDELEA KUSIKILIZA SWAHILI RADIO ONLINE NA KUSOMA WWW.SWAHILITV.BLOGSPOT.COM KUWEZA KUJISHINDIA FREE TICKETS |