Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Browsing all 3319 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maseneta wa Marekani Kukagua Miradi Inayofadhiliwa na Marekani Zanzibar.

Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe, Dkt. Sira Ubwa Mamboya, akizungumza na Ujumbe wa Maseneta wa Marekani waliofika Zanzibar kukagua miradi yao katika Wizara ya Afya Zanzibar, akitowa maelezo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi Yaimarisha Ulinzi Mji Mkongwe Zanzibar.

Askari Polisi wakiwa katika doria katika maeneo ya Mji Mkongwe wa Unguja. ili kudhibiti vitendo vya uvunjaji wa sheria na baadhi ya watu katika mitaa ya mji mkongwe Zanzibar. Watalii wakiwa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATONYA-TONYA WA LEO (AUDIO)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASILIMIA 80% YA WANANCHI MKOA WA MWANZA WANA MINYOO: MKUTANO WA KUHAMASISHA...

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo akifunguwa Mkutano wa Semina elekezi kuhusu zoezi la ugawaji wa dawa tiba na kinga kwa magonjwa yaliyosahaulika kama minyoo ya tumbo,kichocho, trakoma, na usubi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Feza Kessy Aongea na vyombo vya habari Baada ya kurejea Nchini

Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewashukuru wateja wote DStv na Watanzania walioshiriki katika kumpigia kura mshiriki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE MMOJA ABAKWA NA KUCHOMEKWA KISU SEHEMU ZA SIRI MPAKA KUPOTEZA UHAI...

Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30 amekutwa amekufa katika makaburi ya Majengo soko la mjini Kahama mkoani Shinyanga huku mwili wake ukiwa ametobolewa macho na kuonesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mpango wa “Matokeo makubwa Sasa”“Big Result now” katika Sekta ya Elimu...

Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mhe. Dk Shukuru Kawambwa akifafanua jambo wakati akizindua wa utekelezaji wa mikakati ya “Matokeo makubwa Sasa” ambapo kwa kingereza unaitwa “Big Result now” katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Fenella akutana na wadau wa Filamu na kuzungumza nao.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Waziri Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na Viongozi wa Steps Entertainment (hawako pichani) wakati walipomtembelea ofisini kwake kwa mazungumzo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi mdogo wa Oman ajitambulisha kwa Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo...

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na michezo Said Ali Mbarouk, akimkaribisha Balozi Mgodogo wa Oman Salleh Suleiman Al-Harith Ofisini kwake alipofika kujitambulisha, huko Wizarani kwake kikwajuni Mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Mulamula akutana na Mabalozi wa Djibouti, Benin na Cambodia akiwemo...

Mhe. Liberata Mulamula Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico alipokutana na Mhe. Roble Olhaye, Balozi wa Djibouti nchini Marekani na ambaye pia ni kiongozi wa Mabalozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRISHO NGASSA AIDHINISHWA KUICHEZEA YANGA - KWA SHARTI LA KUILIPA SIMBA...

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitia usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom na kumuidhinisha Mrisho Ngasa kuchezea timu ya Yanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA TPSF

Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu na Mkutano wa Mwaka wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua Mkutano wao wa mwaka na Mkutano Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONYAGI YAWAPIGA MSASA WAHARIRI JUU YA KUTHAMINI BIDHAA ZA NDANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa (kushoto), akieleza mafanikio ya TDL ikiwa ni pamoja jinsi inavyolipa kodi serikalini ambapo kwa mwezi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO WAUNGUZA MITAMBO YA VODACOM JANA

Moto ulitokea kwenye betri za mitambo ya simu lakini mitambo yetu ipo salama. Wataalamu wa mtandao wanaendelea kurudisha umeme ili kurudisha huduma za simu.Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu na kuwaomba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PITIA KURASA ZA LEO MAGAZETINI HAPA

MATUKIO NA MICHAPO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

President Kikwete hosts SADC Troika-Organ on Politics, Defence and Security...

H.E. Jakaya Mrisho Kikwete (left), President of the United Republic of Tanzania walking towards the Meeting Hall where the Southern Africa Development Community (SADC) Troika-Organ on Politics,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA UJENZI MHANDISI GERSON LWENGE ATEMBELEA KIVUKO CHA KIGAMBONI

Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge(kushoto) akisikiliza taarifa kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya TAMESA ,Masel Magesa (kulia) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea leo Kivuko cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA ZA YALIYOJIRI KWENYE SHOW YA SNURA CLUB 71 TEGETA

Yule mwanadada mwenye mbuno za kutosha SNURA usiku wajana aliwavuruga wakazi wa tegeta kwa show kali sana kiasi kila aliekuwepo katika ukumbi huo wa tegeta alikubali kazi ya huyo dada kazi ilikuwa pale...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE 11 WA TANZANIA WAKOSWAKOSWA NA KIFO BAADA YA BUS WALILOKUWA...

Wakati msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ukielekea Wilayani Missenyi kukagua sehemu utakapojengwa uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Omukajunguti, gari aina ya Costa lenye namba za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKI UZINDUZI WA SERENGETI FIESTA 2013 KIGOMA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Cassim Mganga akiimba jukwaani mbele ya maelfu ya wakazi wa Kigoma ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika. Sehemu ya umati wa watu waliofurika ndani ya uwanja wa Lake...

View Article
Browsing all 3319 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>