Msanii huyu anafahamika kwa jina la wakazi chini ya MJ REcords ameweza kufanya vitu vingi lakini hapa anaweza akatudhirishia kufanya kitu kizuri zaidi kama chipukizi kwenye gemu ya muziki kutokana na kuja kwake kwa kasi zaidi na muda huu kwa redioni anatamba na kibao cha cha TOUCH.....