Musician Recaptures Tanzanians Lost Glory
Tanzania has regained its lost glory in world of music fame that has dwindled since the eighties. When the name of Tanzania is currently mentioned in international music circles the name of Ebrahim...
View ArticleYANGA KUPEPETANA NA MTIBWA SUGAR YA MOROGORO KESHO ALI HASSAN MWINYI TABORA.
Chuji na Mbuyi Twite wakiwajibika uwanjani BAADA ya kuchezea kichapo toka kwa Express ya Uganda, Mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga kesho Alhamis watashuka katika dimba la Ally Hassan Mwinyi...
View ArticleTBL YAZIKABIDHI TIMU ZA SIMBA NA YANGA VIFAA VYA MSIMU WA 2013/14
Ikiwa ni sehemu ya udhamini wake, bia ya Kilimanjaro Premium Lager imekabidhi vifaa vya michezo kwa klabu maarufu za Simba SC na Young Africans SC kwa ajili ya msimu wa 2013/14 wa Ligi Kuu...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MABUNGE WA KUJADILI SERA ZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano wa Mabunge wa kujadili Sera za Misitu Barani Afrika, uliofanyika jana jioni...
View ArticleMSIBA MZITO KWA PROFESA JAY, MAMA YAKE MZAZI AGONGWA NA GARI HADI KUFARIKI
Profesa J akiwa na mama yake mzazi Bi Rosemary Majanjara Haule enzi za uhai wake. Picha hii ilipigwa April 4, 2008 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam wakati wa sherehe ya uzinduzi...
View ArticleTaswira Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Afunga Kongamano la Kitaifa Kujadili...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya kufunga Kongamano la Kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam jana jioni Rais Dkt.Jakaya...
View ArticleYALIYOJILI UKAGUZI WA MADUKA YA DAWA MUHIMU MKOANI RUVUMA
Naibu Msajili baraza la famasi nchini Leah Chenya akifanya ukaguzi katika duka la dawa Naibu msajili baraza la famasi nchini Leah Chenya akiwa ameshika moja ya kidhibiti alichokuta katika duka la dawa...
View ArticleTASWIRA YA ZIARA YA WAZIRI WA UJENZI DKT, JOHN MAGUFULI, UKAKAGUZI WA MIRADI...
Muoenekano wa ujenzi wa mradi wa daraja la Kigamboni katika awamu ya kwanza ukiwa umekamilika kwa asilimia 47, katika mradi huo. Ujenzi huo utagharimu jumla ya Sh. Bilioni 214,kati ya fedha hizo...
View ArticleTASWIRA ZA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA JESHI LA KUJENGA TAIFA JKT
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, akikagua gwaride wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo zilizofanyika kwenye Uwanja...
View ArticleALIYE TUMBUKIZA KICHANGA CHOONI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITANO JELA....
Rukia Haruna (31) pichani aliye kutwa na hatia ya kutupa mtoto chooni. Rukia Haruna (31) akitolewa nje na Askari wa Jeshi la Polisi akitolewa nje ya Mahakama kwenda Gerezani kutumikia kifungo cha...
View ArticleBALOZI WA UHOLANZI ANAEMALIZA MDA WAKE HAPA NCHINI MHE. DK AD KOEKKOEK AAGANA...
Balozi wa Uholanzi anaemaliza mda wake hapa nchini Mhe. Dk Ad Koekkoek akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda alipofika kumuaga Ofisini kwake leoBalozi wa Uholanzi anaemaliza mda...
View ArticleTAZAMA MUONEKANO MPYA WA WEMA SEPETU MTOTO WA MJINI WA MATUKIO KILA KUKICHA
Wema Sepetu ambaye hivi karibuni ataanza kuonekana kwenye reality Tv show yake, amekuwa akibadilisha muonekano wake mara kadhaa sasa. Mara nyingi Wema hupendelea kuwa na nywere nyingi sana. Sasa hivi...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAAPISHA, MWENYEKITI NA WAJUMBE WA2 WA BARAZA LA MAADILI, IKULU...
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Bw. Hamis Amir Msumi, kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha Mwenyekiti huyo na Wajumbe wawili, wa Baraza hilo, iliyofanyika Ikulu...
View ArticleMCHEKI MZEE ALIYEJITOKEZA KUMFUFUA MWL.NYERERE HUKO MBEYA
AAJABU YA MBEYA HEBU SOMA HII KWA MAKINI KABISA.Huyu mzee alifika katika studio za Kyela FM,anasema yeye anahitaji Msaada anataka kwenda kumfufua Mwl. Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa...
View ArticlePOLISI YA TZ YAKIRI KUWA WASICHANA WALIO KAMATWA SOUTH AFRICA NA MADAWA...
Ni takribani siku sita sasa toka wasichana wawili raia wa Tanzania Agnes Gerald na Melisa Edward kukamatwa katika uwanja wa ndege wa OR Tambo Afrika Kusini wakitokea Tanzania, wakituhumiwa kusafirisha...
View ArticlePREZZO AMDISS DIAMOND PLATNUMZ" DIAMONDS PEKEE NNAZOZIJUA ZIKO SHINGONI KWANGU"
It’s about to go down!! 255 vs 254 aka Platnumz vs Bling Bling!! So kumbe majigambo ya Diamond kwenye vyombo vya habari kabla ya Tamasha la Matumaini kufanyika kuhusu kumgalagaza Prezzo kwenye show...
View ArticleHABARI KUTOKA TFF LEO, UGANDA CRANES YAWASILI KUIKABILI STARS
Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) imewasili Dar es Salaam leo tayari kwa mechi ya kwanza ya mchujo kusaka tiketi ya Fainali za Afrika kwa Wachezaji wa Ligi ya Ndani (CHAN) kati yake na Tanzania...
View ArticleANGALIA PICHA 6 ZA TID AKILA BATA KWENYE MITAA YA U.K
T.I.D mkali wa long time kwenye bongoflava tangu enzi za Zeze, Siamini hadi leo hii na Kiuno na bado anamiliki headlines, wiki kadhaa zilizopita baada ya kumaliza msiba wa mshikaji wake Mangwea,...
View Article