Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

YANGA KUPEPETANA NA MTIBWA SUGAR YA MOROGORO KESHO ALI HASSAN MWINYI TABORA.

$
0
0

Chuji na Mbuyi Twite wakiwajibika uwanjani


BAADA ya kuchezea kichapo toka kwa Express ya Uganda, Mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga kesho Alhamis watashuka katika dimba la Ally Hassan Mwinyi mjini Tabora kupepetana na Mtibwa Sugar ya Morogoro.

Huo utakuwa mchezo wa tatu kwa Yanga ambayo ipo katika ziara ya kimichezo Kanda ya Ziwa baada ya Jumamosi kutoka suluhu ya bao 1-1 na Express ya Uganda jijini Mwanza, kabla ya kufungwa 2-1 na Express katika mechi ya marudiano iliyochezwa jana mjini Shinnyanga.
Yanga inatumia michezo hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya Nationwide ni maalum kwa ajili ya kupeleka taji lao kwa mashabiki wao wa Kanda ya Ziwa na pia kujiandaa na michuano ya Ligi Kuu msimu mpya itakayoanza Agosti.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>