Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

CHEKI JINSI BONANZA LA VODACOM CHEKA BOMBASTIK LILIVYOPAGAWISHA WAKAZI WA DAR.

$
0
0


Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka kundi la TMK Wanaume halisi “Juma Nature”akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Bonanza la Cheka Bombastiki lililofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam,Likiwa mahususi kwa wateja wa Vodacom Tanzania wakati wa sikukuu ya mwaka mpya.

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka kundi la TMK Wanaume halisi “Juma Nature”akiwapungia mkono mashabiki wake wakati akipanda jukwaani kutumbuiza katika Bonanza la Cheka Bombastiki lililofanyika katika ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam,Likiwa mahususi kwa wateja wa Vodacom Tanzania,wakati wa sikukuu ya mwaka mpya.

Mwanamuzi chipukizi, Sheby Live akionesha kipaji cha kuimba wakati wa tamasha la kusherehekea mwaka mpya la Bombastiki Bonanza lililoandaliwa na kampuni ya Vodacom Tanzania na kufanyika katika Ufukwe wa Coco jijini Dar es salaam juzi.

Mmoja wa mashabiki wa muziki wa kizazi kipya, Lucy Benatus akionesha kipaji chake wakati wa tamasha la kusherehekea mwaka mpya la Bombastik Bonanza lililoandaliwa na kampuni ya Vodacom Tanzania na kufanyika katika Ufukwe wa Coco jijini Dar es salaam juzi.

Mwanamuzi chipukizi, Ghasia Amiri akionesha kipaji cha kuimba wakati wa tamasha la kusherehekea mwaka mpya la Bombastik Bonanza lililoandaliwa na kampuni ya Vodacom Tanzania na kufanyika katika Ufukwe wa Coco jijini Dar es salaam juzi. 
 
 Asante kwa kutembelea blog yangu, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>