Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Hivi Ndivyo Skylight Band ilivyoshusha Sebene La Nguvu ndani ya kiota cha Thai Village

$
0
0


Waimbaji wa Skylight Band kutoka kushoto Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakitoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa ya mwisho kwa mwaka 2013 kabla ya kuelekea Mwanza kwa ajili ya show ya mkesha wa Mwaka mpya ndani ya The Rock City Cruise Party na tarehe 1 January 2014 kwenye VIP Part ndani ya hoteli Gold Crest jijini Mwanza.


Aneth Kushaba AK 47 na Digna Mbepera wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.

Nyomi ya mashabiki wa Skylight Band wakisebeneka na Skylight Band.

Kipaji kipya cha Skylight Band Donode (katikati) sambamba na Winnie pamoja na Digna Mbepera wakitoa burudani.

Burudani mwanzo mwisho…..Mheshimiwa Bundala akisebeneka.

Mary Lucos akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye show yao ya Ijumaa kwa mwaka 2013 ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Real Unique Tanzania, Bw. Albert Mkaoye, akiwatambulisha Models wa kampuni yake walioshiriki kwenye Party ya kufunga mwaka ulioenda sambamba na Usiku wa Traditional Fashion Show pamoja na burudani ya Skylight Band.

Rappa wa Skylight Band Sony Masamba sambamba na Models wa Real Unique Tanzania wakiwapa raha mashabiki wa band hiyo.

Models wa Real Unique wakichizika na Staili ya “Yachuma chuma” na Skylight Band.

Mdau Alosi Ngonyani akichukua matukio kwenye simu yake….!! ni balaa haina mfano.

Mashabiki wakisebeneka kwa raha zao na Skylight Band.

Mduara ulihusika pia…

Wadada wakizungusha nyonga zao…!!!

Kutoka kushoto ni Digna Mbepera, Winnie pamoja na bishosti wake wakipata Ukodak backstage.

Mashabiki wa Skylight Band na Ukodak.

Zainul Photo katika Ukodak na wadau.

Warembo wa ukweli ndani ya Skylight Band.

Wadau wakishow love na Ukodak.

Skylight Band for life…ndio msemo wa mabinti hawa na Ukodak.

Mr. and Mrs Ngonyani na Ukodak moment.

 Asante kwa kutembelea blog yangu, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>