Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Ona Jinsi Bar ya Samaki Samaki-Mbezi ilivyoteketea Kwa Moto Leo

$
0
0



Hii ndiyo Baa ya Samaki Samaki ikiteketea kwa moto leo baada ya kutokea Hitilafu ya Umeme wakati baa hiyo ilipokuwa ikibomolewa leo ili kupisha upanuzi wa barabara hiyo inayoendelea kujengwa, ambapo eneo hilo linatarajiwa kujengwa 'Service Road', ambapo ilitokea shoti ya umeme na kuteketeza jengo hilo. Picha na Mpiga Picha Wetu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>