Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI MANYARA

$
0
0

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama asali wakti alipotembela Banda la Halmashauri ya Wilaya Mbulu kabla ya kufungua kongomano la Kwanza la Uwekezaji katika mkoa wa Manyara mjini Babati Agosti 22, 2013. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr, Mary Nagu na Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Erasto Mbwilo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama asali wakti alipotembela Banda la Halmashauri ya Wilaya Mbulu kabla ya kufungua kongomano la Kwanza la Uwekezaji katika mkoa wa Manyara mjini Babati Agosti 22, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mbolea wakati alipotembelea banda la kiwanda cha Mbolea cha Minjingu kabla ya kufungua Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika Mkoa wa Manyara mjini Babati Agosti 22, 2013. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara, Erasto Mbwilo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanachama wa kikundi cha ushonaji Ufukuba katika banda la kikundi hicho kabla ya kufngua Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika mkoa wa Manyara mjini babati Agosti 22, 1013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika Mkoa wa Manyara mjini Babati Agosti 22, 2013.

Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika Mkoa wa Manyara wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua kongamano hilo mjini Babati Agost 22, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>