Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

MAMA TUNU PINDA AZINDUA MRADI WA KUSAIDIA WATOTO WAKIKE NCHINI

$
0
0
Mgeni rasimi Mama Tunu Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya kumsadia mtoto wakike kushoto kwake ni mkururugenzi Mtendaji wa Tmarc Bibi Diana Kisaka ambao ndio wandaji wa mradi huo kulia kwa mama pinda ni Ludovicka Tarimo mshauri wa maswala ya jinsia kutoka USAID anayefuatia ni Mkuu wa voda com Foundation Bwana Yessaya Mwakifulefule sherehe hizo zimefanyika mkoani Mtwara picha na Chris Mfinanga

Mama Tunu Pinda naonekana akicheza ngoma marufu ya kimakonde ambayo ilikuwa ikiburusha wageni katika uzinduzi wa mradi wakumsaidia mtoto wa kike

Meneja wa voda com foundation Bwana Mwakifurefure akiwahutubia wageni walikwa voda com wamehusika katika kuweza mradi huo ambawalichangia kiasi cha shilingi milioni miamoja sitini picha na Chris Mfinanga

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>