Umati wa mashabiki ukiisubiria burudani katika uwanja wa Lake Tanganyika
Backstage: Christian Bella, Nikki wa Pili na Amini.
Backstage: MwanaFA
Backstage: Profesa Jay
Mfalme wa Taarab nchini Mzee Yusuph ndiye aliufungua usiku wa Kili Music Tour.
Amini akiwaimbisha mashabiki moja ya nyimbo zake.
Mwasiti ambaye asili yake ni mkoa wa Kigoma alipokelewa kwa shangwe alipopanda jukwaani
Mkali wa R&B nchini Ben Pol
Mshindi wa tuzo ya mtunzi bora bendi, Christian Bella akiimba mbele ya umati wa mashabiki wa Kigoma
MwanaFA msanii wa kwanza wa Hip Hop kupanda jukwaani katika usiku wa Kili Music Tour mkoani Kigoma
Profesa Jay mmoja ya wasanii wanaokubalika kila kona ya nchi akiwa jukwaani
Mizuka ya show iliwafanya hawa washindwe kujizuia kutoa shangwe
Nikki wa Pili, Joh Makini na GNako Warawara waliendelea kuonyesha kuwa wao ni moja ya makundi bora kabisa ya Hip Hop kuwahi kutoke nchini
DJ Choka akiwa kazini
Wadau wakifurahia burudani
Diamond na Wasafi wakiufunga usiku uliojaa burudani mkoani Kigoma. Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.