
Redd's Miss Temeke 2014, Sitti Mtemvu akipunga mkono huku akiwa na mshindi wa Pili, Salma Saleh (kushoto) na watatu, Neema Mollel, baada ya kutangazwa kuwa washindi wa shindano hilo.




Mshindi wa Pili wa Redd's Miss Temeke 2013, Narietha Boniface, akimvisha taji Redd's Miss Temeke 2014, Sitti Mtemvu baada ya kuibuka mshindi katika shindano hilo, TCC Chang'ombe.
Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale