Hayawi hayawi sasa yamekuwa, msanii wa muziki nchini Nigeria, Paul Okoye anayeunda kundi la Psquare, hatimaye amefunga ndo na mchumba wake wa muda mrefu, Anita Isama. Wapendanao hao wamefunga ndoa ya kimila leo iliyofanyika Aztech Arcum, Portharcourt eneo la Riverside nchini humo.
Katika sherehe hiyo iliyohudhuria na mastaa pamoja na watu mashuhuri, Olamiju Alao – Akala ndiye alikuwa msimamizi wa kiume ‘Best man’ wa Paul. Hii inakuwa ni ndoa ya pili kwa memba wa Psquare, ukiacha ile ya Peter aliyofunga mwaka jana.



The groom Paul Okoye & Olamiju Alao-Akala

Groom’s twin Peter of P-Square, his son Cameron & Groomsmen. Anita trying to find her groom. Julius Agwu, the MC told her to be careful not to pick the wrong brother as he is a twin. Lol.








Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.