Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Alichokisema Mabeste kuhusu kinachoendelea kati ya M-Rap na B Hits.

$
0
0


 
Zikiwa zimepita siku chache tangu M-Rap kuondolewa katika label ya B Hits jambo lililozua maswali mengi sana hasa kwa mashabiki. Mabeste msanii aliyekua chini ya label hiyo hiyo ya B Hits kwa mara ya kwanza ameamua kuongelea juu ya suala la M Rap na B Hits. Kupitia ukurasa wake wa Facebook Mabeste aliandika” Nasikitika Pancho Latino na Uongozi wa Bhits kwa kulalamika kua M-Rap ametumia mistari yao katika Track yake aliyoifanya Am Records (usiende mbali) kuwa ametumia Verse alizowahi kuandika kipindi yuko Bhits na kuamua kutoa hiyo Track yenye hiyo Verse ambayo ni (only you remix)… sasa mbona (only you remix) waliyoitoa Bhits ile chorus aliyoifanya Jux niliandika mimi wakat niko Bhits!! Je mbona wao wametumia mistari yangu wakati mimi siko Bhits? Na kama issue ni Copy n Paste au kuishiwa na idea,mbona beat iliyotumika kwenye Track yangu ya “SIRUDI TENA” Pancho amei Copy kwenye Track ya (cheap monkey ft chriss brown – champion)?? Je ni haki wanachofanya??
Ama wanataka kumuaibisha tuu dogo(M-rap), mbona wao pia wanazingua nao???
#MabesteArmy! “

Itakumbukwa kua Mabeste nae aliondoka B Hits jambo lililofanya uongozi wa Label hiyo kumzuia kutumia nyimbo zote zilizorekodiwa chini yao, pia jambo hilo hilo limetokea tena kwa M-Rap kuzuiwa kutumia nyimbo yoyote aliyorekodi akiwa chini ya B Hits.
 Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>