Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Browsing all 3319 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI WA USALAMA WA CHADEMA HOI MUHIMBILI

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare akiwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam, jana, kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya ShingoMkurugenzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTUMISHI WAELEZEA MCHAKATO WA AJIRA UNAVYOKUWA NA WABAINI VYETI FEKI 677

Mkuu wa Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini,Ofisi ya Rais Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bi. Riziki Abraham (kushoto) akizungumza na vyombo vya habari nchini juu ya Uendeshaji wa Mchakato...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHEKI KIJANA ALIYETOKA MBEYA HADI DSM KWA KUTEMBEA KWA MIGUU.

Kijana Wiseman Luvanda (23) akikamilisha safari yake ya kutoka Mbeya hadi Dar es salaam kwa miguu. Kauli mbiu yake "Tanzania nchi yangu,Taifa Stars Timu yangu, Amka wakati wa Uzalendo ni Sasa"....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JINI MAHABA LINAVYONITESA LINANIINGILIA MPAKA KINYUME NA MAUMBILE-HELP

Hi ni history ya kweli ya maisha yangu naomba mnishauri wadau. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29 ni mkristu na ni mzaliwa wa morogoro mwenye asili ya mkoa wa kilimanjaro.Wakati wa utoto wangu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"WAPINZANI BADO NI WACHANGA SANA KUWARUHUSU WAINGIE IKULU"... MKAPA

RAIS mstaafu, Benjamin William Mkapa, ameonyesha wazi kutoridhishwa na mwenendo wa matukio ya uvunjifu wa amani hivi sasa. Mkapa, mmoja wa viongozi ambao wanajiamini katika kauli zao, amewataka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUU NDIO UJUMBE WA MASANJA MKANDAMIZAJI KWENDA KWA WANAUME WOTE

Mwanaume kuwa na hela ni sawa na Mwanamke kuwa mzuri,hela kwa Mwanaume ni dalili wewe ni Fighter,ni hard-worker,ni Success Chaser,ni Paper finder..hizi ndo aina za watu Wanawake wanataka...Sio maneno...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAFUNZI WA IFM AMEFARIKI DUNIA WAKATI AKIOGELEA KIGAMBONI JANA JIONI

Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza Uhandisi wa Kompyuta wa chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Wendy Habakuki Lwendo amefariki dunia katika ufukwe wa bahari ya Hindi eneo la Kipepeo Kigamboni akiogelea na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUONEKANO WA FAMILIA YA JACQUELINE NTUYABALIWE NA MH.REGINALD MENGI

Miss Tanzania 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe,na ni msanii pia wa muziki wa bongo Fleva akiwa na Watoto wake pamoja na Baba wa watoto hao Mr Reginald Mengi (Baba wawili na Mamam Wawili), Unaweza kusema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA NDEGE BINAFSI WANAZOMILIKI MASTAA MBALIMBALI DUNIANI

Ndege ya Didy Ndege ya Jay z Ndege ya Kanye West Ndege ya Will Smith Ndege ya Meek Mill na French Montana Ngege ya Fabolous Ndege ya Pitbul Ndege ya Chris Brown Ndege ya Birdman "Baby" Ndege Lil Wayne...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mfuko wa Starkey Hearing watoa huduma za kutibu masikio kwa wakazi wa Dar

Mwanzilishi wa Mfuko wa Starkey Hearing William Austin (wa tatu kutoka kulia) akiwa amemkumbatia Mkewe Tani Austin leo jijini Dar es salaanm katika picha ya pamoja na Teddy Mapunda (wa pili kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA WAFANYA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA OFISI YA MKURUGENZI WA JIJI LA...

Wafuasi wa Chadema wakiandamana kuelekea katika ofisi za Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kwenda kumpongeza kwa kusimamia vizuri uchaguzi wa Madiwani. (Picha zote na Picha na Ferdinand Shayo) Wafuasi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MACHANGU" TUNAENDELEA KUJIUZA MWEZI MTUKUFU ILI TUPATE HELA YA FUTARI"

OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) inayoendeshwa na mapaparazi wa Global Publishers inazidi kufichua ‘madudu’ kwenye jamii, safari hii imekutana na machangu ambao wamecharuka kuendeleza biashara hiyo kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI KUTOKA MAGAZETINI SIKU YA LEO JULAI 16/2013

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VUTA NIKUVUTE SAKATA LA UBORA WA MAFUTA YA UBUYU

TFDA ilitoa taarifa kwamba mafuta ya ubuyu hayafai kwa matumizi ya binadamu kwa sababu yana kiwango kikubwa cha tindikali ya mafuta aina ya Cyclopropenoic fatty acids.Pia ilisema ili yaweze kukidhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAJESHI WALIOUAWA DARFUL KATIKA SHAMBULIO WAAGWA KWA HESHIMA

The African Union – United Nations Mission in Darfur (UNAMID), held a memorial ceremony, in Nyala, the capital of South Darfur, to honor the seven fallen peacekeepers who lost their lives in the 13...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA MBALIMBALI ZA MAZISHI YA MWANAFUNZI WA IFM ALIYEZAMA BAHARINI

Makamu Mkuu wa Chuo cha Tumaini Makumira, Prof. Parsalaw akiongea nenoa. Askofu Mkuu wa KKKT. Ask.Dr. Alex Malasusa akitoa salamu za Kanisa. Ni vilio tu kwa waombolezaji Rachel Fute na Vaileth Lwendo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dereva wa Bodaboda afa, wengine wajeruhiwa katika ajali

Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi, Handeni. DEREVA mmoja wa Bodaboda amefariki dunia papo hapo na wengine wanne kujeruhiwa kwenye ajali baada ya pikipiki mbili kugongana usukani kwa usukani huko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete Azindua Rasmi huduma mpya ya Benki ya Posta iitwayo TPB...

Mgeni rasmi, Rais Jakaya Kikwete akizindua huduma mpya ya Benki ya Posta iitwayo TPB POPOTE mapema leo mchana kwenye hotel ya Serena jijini Dar ,hafla hiyo imewakutanisha wadau mbalimbali wa mambo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YASAINI MKATABA WA UWEKEZAJI NA KAMPUNI YA CPI YA CHINA

Mkurugenzi wa Tanesco, Felchesmi Mramba akisaini hati na Mwenyekiti wa Kampuni ya Uwekezaji ya CPI, Lu Quizhou baada ya kuingia mkataba wa uwekezaji wa nishati ya Umeme jijini Dar es Salaam leo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BLANCA MALITI AIBUKA MSHINDI WA PROMOSHENI YA WINDA NA USHINDE INAYOENDESHWA...

Mshindi wa shilingi milioni moja wa shindani la Winda na Ushinde Bi. Blanca Maliti (katikati) mkazi wa mjini Morogoro akikabidhiwa mfano wa hundi na Meneja wa Mauzo wa Serengeti Breweries kanda ya...

View Article
Browsing all 3319 articles
Browse latest View live