









Nishas Film Production na mwanadada machachari mchakarikaji asiyekuwa namashauzi @nishabebee wamemaliza kupika movie hii iliyojaa vituko na mashamsham hahahaa otea sasa utamu wake utakuwaje. Nisha ameniambia nimapema kusema jina la movie hiyo ila mashabiki wake wakae mkao wakuona kitu kingine kizuri kwa mwaka huu 2014.
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.