Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

MZEE MWINYI AFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA BENK ZA KIISLAM ZANZIBAR

$
0
0


Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akikata Utepe kuashiria uzinduzi wa Makao Makuu ya Benk ya Kiislamu ya PBZ na Tawi Jipya huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Benki ya Kiislamu huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kulia yake ni Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee na kushoto yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benk ya kiislam Juma Amour.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akitia saini baada ya Kujiunga katika Benki ya Kiislamu huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mwananchi akipatiwa huduma katika Benki ya Kiislamu baada ya kuzinduliwa huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi katikati akiwa katika Picha ya pamoja na wakurugenzi wa Benki baada ya kulizindua tawi hilo huko katika Mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR. 
 
 Asante kwa kutembelea blog yangu, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>