watoto wakiangalia kwa makini kabisa
"Nikisaini Kitabu cha wageni kabla sijaondoka Kama nilivyotangulia kusema awali kuwa, hawa watoto ndiyo mashabiki wetu wakubwa,na mara nyingi hawapati fursa ya kuhudhuria maonyesho yetu ama kukutana na
sisi..hivyo kutokana na kuwa awali,video ya number 1 version ya kwanza niliizndua kwa baadhi ya watu special pekee.
Awamu hii,video ya number one remix niliyoifanya na Davido wa Nigeria..nimeamua kuionyesha kwa
mara ya kwanza kwa watoto waishio katika mazingira magumu..usisahau pia kuwa tarehe 25 mwezi huu mchana pale Leaders club nitakuwa na tamasha special kwa ajili ya watoto ambao wengi hawapati fursa ya
kuona maonyesho yetu..na siku hiyo hiyo usiku tutakuwa Mwanza..get ready" Diamond Platinumz.