Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Rais Kikwete katika shughuli ya kumbukumbu ya mzee Nelson Mandela nchini Afrika kusini

$
0
0


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha viongozi mbalimbali wa Afrika kwa Rais Barack Obama wa Marekani wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013. PICHA NA IKULU

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>