Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Tanzania Top Model 2013 kufanyika Jumamosi hii

$
0
0


Mamodo 15 kutoka katika mikoa mbali mbali wanapambana Jumamosi hii tarehe 7/12/2013 kumtafuta Mwanamitindo Bora wa Tanzania, katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl JK Nyerere ulioko Jijini Dar es salaam katika barabara ya Shabaan Robert inayoanzia kwenye viwanja vya Gymkhan na kuishia kwenye lango kuu la Ikulu ya Dar es salaam.
Mshindi wa Shindano hili ataiwakilisha Tanzania katika Mashindano ya Top Model of the World. Kiingilio katika shindano hilo kimepangwa kuwa ni Tshs 100,000/= kwa VIP Class, Tshs 50,000/= kwa Business Class na Tshs 20,000/= kwa Economy Class.
Hili ni shindano lisilokuwa la kawaida ambalo kila mtu anatakiwa kuliona

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>