Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

WASANII WATAKAOSHAMBULIA JUKWAA LA FIESTA 2013 KIGOMA WAZURU KABURI LA ALBERT MANGWEA MKOANI MOROGORO LEO.

$
0
0



Baadhi ya Wasanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongo Fleva, ambao wapo safarini kuelekea mkoani Kigoma kwa ajili ya kushambulia jukwaa la Tamasha la Fiesta 2013, linalorajia kufanyika Agosti 17, kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo, wakiwa kwenye Makaburi ya Kihonda katika kaburi la Msanii mwenzao, Marehemu Albert Mangwea, leo asubuhi, nje kidogo ya mji wa Morogoro, walipofika kuzuru kaburi hilo na kumuombea dua. Mungu ailaze roho ya marehemu Mangwea, mahali pema peponi-Amen

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>