
Dhahama hiyo imempata baada ya kushuka kwenye tax ambako kulikuwa leo akiendesha mhadhala baada ya mhadhala huo kukawa kama kuna maandamano kueleke barabarani, gafla polisi walitokea na kuanza kutawanya wakati huo yeye alikuwa hayupo .
Ndipo mda mdogo akawasili akashuka na ndipo akapigwa risasi za kutosha.
Source:Jamii forums