
Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa, (wapili kulia) , Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dkt, Fenella Mkangala (kulia) na Mke wa Waziri wa Fedha, Naima Malima (kushoto) katika mazishi ya aliekuwa Mwandishi wa habari wa TBC Dodoma, Samwel Chamulomo , numbani kwa Marehemu eno la Mlezi Dodoma

Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara akizungumza katika ibada ya kumwombea marehemu Samweli Chamulomo iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma

Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma

Mke wa Waziri mkuu,Mama tunu Pinda akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Chiku Galawa akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma,

Mkurugenzi Mkuu wa TBC Bw. Clement Mshana na waombolezaji wengine wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma

Baadhi ya Waandishi wa habari wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma,

Baadhi ya Waandishi wa habari wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma,

Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akitoa heshima zake za mwisho

Mke wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa TBC, Samweli Chamulomo,Theresia Bura akimuaga kwa uchungu mpenzi mumewe marehemu Samweli Chamulomo kwenye ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma

Jeneza lenye Mwili wa mwandishi wa habari wa TBC Samweli Chamulomo likiwekwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kikuyu mjini Dodoma

Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara , akiweka shada la maua katika kaburi la mwandishi wa habari wa TBC marehemu Samweli Chamulomo yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kikuyu mjini Dodoma. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu. Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.