Leo tarehe 23 ndio ile video ya NITAKUPWELEPWETA inatoka rasmi ya wasanii hawa kutoka kundi la Mkubwa na Wanawe (Yamoto Band). Video imefanywa na kampuni ya Next Level chini ya Dir Adam Juma. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.
↧