Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Utengenezaji wa video mpya ya WITNESS - "CHUNGA MDOMO WAKO"

$
0
0




"Hapa ni moja ya location wakati tunarekodi video ya CHUNGA MDOMO WAKO, na ni video ya kwanza ya peke yangu kurekodi na wasichana tupu pia ni kati ya video queens walio kwenye Otchunes 20 video Queens ambapo Otchunes 20 ni kipindi cha tv kinachohusika na kutafuta na kuendeleza vipaji mbalimbali ikwemo, muziki acting, video dancers, video queens wote wanapatikana wakihitajika hata sasa ambapo mara nyingi ilikua tabu sana kwangu mimi kupata wasichana ili washiriki nami kwenye music videos ila kwa sasa kwa kuwa ninao na ninawaandaa mwenyewe ndo maana nimepata urahisi wa kuwatumia kwa maswali zaidi nicheki hewani +255 717 757582"  Ni maneno yake Witness.

Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>