Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

AY kufanya kolabo na msanii mkubwa wa Marekani.

$
0
0

Msanii AY ambaye hivisasa yuko nchini Marekani kwaajili yakutengeneza video ya wimbo wa 'Touch me Touch Me' aliofanya na Sean Kingstone na Ms Trinity. Amesema kuwa kila kitu kilienda vizuri na amepata support kubwa kutoka kwa mama yake Sean Kingstone, na kuna baadhi ya mastaa wataonekana kwenye video hiyo.Ay amesema kuwa video hiyo inaweza kutoka November mwaka huu.

Habari nzuri na kubwa ni kwamba msanii huyo amesema kuna uwezekano wakufanya colabo na msanii mkubwa wa Marekani ambae hakuwa tayari kumtaja,.Kila la kheri aarif endelea kuiwakilisha Tanzania vizuri. Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>